Natangaza rasmi kuzaa na mke wa jirani yangu...vituko vimezidi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natangaza rasmi kuzaa na mke wa jirani yangu...vituko vimezidi.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by zubedayo_mchuzi, Dec 1, 2011.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  nimeshindwa kuvumilia Vituko na MAJINA NAYOPEWA
  kama NYOKA WA KIBISA,Sasa NAFANYA KWELI.....
  NIKITOTOA NAE TU NAWEKA PICHA.

  huyo wife wa jamaa si mchezo leo mudda si mmrefu amekja kuazima Charger YA pini ndogo yupo na KANGA MOJA.nabeba lawama
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo unatueleza ili iweje?
  Grow up.
   
 3. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Haya,hongera sana baba nanilii mtarajiwa,ila dini yangu inaniambia Ikimbie zinaa,na ndoa na iheshimiwe na watu wote,ukipenda badili uamuzi wako!majaribu yapo lakini yana njia za kutokea yote je umefanya njia gani?
   
 4. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  [​IMG]kumbe wewe ni me?[​IMG]
   
 5. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  labda wahusika wapo humu kwa hyo anatoa taarifa indirectly,
   
 6. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Kula usikubali kuwa nyuki wa mashineni.
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  anataka kutuletea series kama tamthilia subiri kesho tujue nini kinaendelea..
   
 8. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Zubeda?? She-male?? :lol:
   
 9. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  mpe mambo unamkawiza tena soon atakuita bwabwa.
   
 10. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Zubeda, ulimaanisha mume wa jirani?
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  ha!...hata mimi kanichanganya.....ni mwanaume halafu akatumia jina la Zubeda?......kweli JF is a place to be.........

   
 12. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #12
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Zubeda-mchizi hebu tuimbe kwa pa1 wimbo huu wa marehemu dk Remmy(MKE WA MWENZIO); 'Natoa onyo kwako ww kama ndugu,tabia hiyo sio nzuri duniani, usiwe na haraka ya maisha ww kaka,waliotangulia wako wapi hivi sasaaa...MKE WA MWENZIO USIMWAZIME CHAJA..MUKE WA MWENZIO USIMNUNULIE VOCHA..,MKE WA MWENZIO USIJIPITISHE PITISHE.... Nakukaribisha nawe uendelee kuimba...
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  asante, ni aibu kubwa kwa kijana aliyemaliza la saba kuwa nyoka wa maonesho.

   
 14. k

  kijukuu kindo Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Joka la kibisa haikubaliki.anakubeep wewe mpigie meeen!
   
 15. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  jiandae pia na mumewe kuzaa na wewe
   
 16. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Zaa nae tu.Ila na wewe siku moja ukubali mwenye mali atakuja kuzaa na wewe pia.We lingia hicho kichaja chako cha pini ndogo tu,Shauri yako.
   
 17. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Huyu ni mzinzi tu na anatafuta sababu ya kuendeleza uzinzi na mke wa mtu. hebu acha utoto wewe mke wa mtu utatolewa roho wasichana wako wengi tafuta wako uoe acha kutolea macho wake wa wenzio.
   
 18. k

  kitumanga Member

  #18
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yani unataka kuzaa na mke wa kaka yangu. jaribu! omba msamaha kabla ya saa moja kamili kesho. ucpofanya hivyo chagua adhabu kati ya zifuatazo. kushushwa shipa, kupotelewa kabisa na izo zinazokupa kiburi, kufanywa uwe na tamaa ya kukameruniwa, kukameruniwa, kufanywa uwe unatamani kuvaa nguo za kike, kutembea uchi.
   
 19. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #19
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Is this a great thinkers' ideology?! mmmmh! i doubt it! will always do! nakupenda JF!
   
 20. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Unaomba ushauri au unataka tukusifu? Nenda na madhara yake yakikupata usituletee threads za majuto hapa!
   
Loading...