Kwanini watu hutumia uchawi kuboresha mapenzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini watu hutumia uchawi kuboresha mapenzi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Dec 3, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,307
  Likes Received: 22,111
  Trophy Points: 280
  Hivi inawezekana kwa "Wapenzi" Kuachana
  wakiwa bado Wanapendana? na Je ni
  kwanini Watu hutumia "Imani za Kishirikina"
  kwenye Mapenzi?!
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  *-+=
  mwanamke autegeaye uchawi hajui mapenzi
   
 3. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Unajua unaweza ukawa umefall in love kwa mwanaume kupita kiasi lakini yeye hakupendi, ili ufaidi lile penzi ni vyema kutumia njia mbadala kama kuloga, au kutumia pesa.
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Inaezekana ndio. Unaeza kua unampenda mwenzio afu akawa na labda tabia ambazo huzipendi na ukiangalia hawezi kubadilika, kuepusha msongamano unaamua kumwacha huku bado unampenda.
   
 5. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2011
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  NI hofu ya kuogopa kuachwa.
   
 6. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ni kwasababu ya kutokujiamini.
   
Loading...