Ninataka kumkimbia kimeo huyu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninataka kumkimbia kimeo huyu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sniper, Dec 2, 2011.

 1. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  [h=6]Yaaani umeomba ki date na mwanamke akafika na shosti yake, mkala misosi, mkanywa, ukalipa bili. Baada ya hapo inaingia sms, "ninataka kumkimbia kimeo huyu", mwanamke alikuwa anamtumia shosti wake akajisahau akakutumia wewe.
  Ungefanyaje hapo............???
  [/h]
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  What an Insult!!:lol:
  Hapo changanya na zako, na na usipokuwa makini PF3 inaweza kujazwa mahala!
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Of koz nitamshukuru wa kuwa mkweli..japo unintentional honesty, kuliko kupotezeana muda.
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  unamganda ka ruba, humpi chansi hata ya kwenda chooni. Hakikisha unammega then unammwaga
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unamjibu mi mwenyewe nilikua na mpango wa kukimbia.
   
 6. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kama mimi naondoka siagi kisha nikifika home namtumia sms kumwambia kimeo kibaya ila ofa yake tamu sio?
   
 7. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,626
  Trophy Points: 280
  eti unakuta mtu anamuita mwenzie kimeo, kwani wewe mzuri hadi kumuita mwenzio kimeo. ningekuwa mimi ningereply "kimbia". mia
   
 8. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  We umejuaje msg si yako
   
 9. M

  MyTz JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hilo jibu litapendeza baada ya kula maniaje...
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  unamjibu kwa sms, hata mie nakikimbia hiki kimeo huku unatoka nje afu unasepa bila kulipa bill.
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  unamjibu kimbia ufe
   
 12. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  we unatulia tu kama lengo lako ni kupiga tu unakuwa mpole unaendelea kugharamia ukikipata unachokitaka unampa kibuti cha kufa mtu wanawake wengi huwa wana mchezo huo hata kama anakupenda ila akija na mtu atajifanya kama vile anataka kukupotezea na ww usipokuwa mjanja ndugu utaliwa sana tuu
   
 13. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,467
  Likes Received: 3,732
  Trophy Points: 280
  bora amekosea ukamjua mapema chapa zako lapa
   
 14. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Unamlipia bili lakini? au uhnamwacha alipe mwenyewe?
   
 15. m

  mwanawasi Member

  #15
  Dec 2, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Inapaiiin,and much depend on ur expectation to her for u..! Bt wisely ningempa fact kwamba am nt kimeo bt am.....(my name).then ningewatakia time njema halafu nikajivumilishe mbele..!!kama chaka chaka tuu..
   
 16. Utamu Extra

  Utamu Extra Member

  #16
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du, km ndio mm huyo mwanaume natoka kimya kimya km naongea na simu,nikifika nje naifowadi kwake na hataniona tena na mawasiliano yanaishia hapo.
   
 17. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #17
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hiyo itakua ni chance moja kubwa sana ya kumpata kwa sababu tayari atakua hana confidence....then kwa hasira nitamega wote wawili then mwendo mdundo
   
 18. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,289
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280


  Aliyetoa comment kuwa ni kimeo kakuona, mlikuwa nae na mmekula na kunywa.

  Anonymous si kimeo so hawezi kuitwa kimeo. Hivyo basi hatakuwa na la kufanya kwani hawezi itwa kimeo.

  Je wewe ni kimeo au la?
   
 19. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #19
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimeipenda kweli hii duh!
  i wish i was you meeeeeeeeeeeeeeeeeeen............mana nami ningemjibu umejuaje ka na mm najiona ka nimeingia choo cha kike mana mtoto uko ka mjusi kabanwa na mlango
   
 20. Gold Addict

  Gold Addict Senior Member

  #20
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ishu kama hii ilishawahi kunitokea,nimesimama na jamaa ananisoundisha then akapita shosti wangu akanikonyeza,basi bila ajizi nikavuta cm nikatuma msg ya kumponda jamaa kwa shosti nikakosea ikaenda kwa jamaa...nilitamani ardhi ipasuke..jamaa maneno yalimwisha,tukaagana rite away
   
Loading...