Imebainika sasa kwamba, kuweka kwetu ndita, kukunja uso kwa hasira na kutoridhishwa, hakutokani na kuiga kwetu kwa wazazi au walezi, bali zaidi hutembea katika kizalia (Genes). Watu wa familia...
Habari zenu wanajamvi (MMU)!
Napenda kuwatakia kila lililo jema katika sikukuu ya Noel na kuwatakieni nyote baraka za Mungu katika mwaka mpya wa 2012 unaokuja. Naenda kijijini kwa mapumziko...
WanaJF,
Napenda kuchukua fursa hii kuwajuza kuwa mwanaJF mwenzetu aitwaye LiverpoolFC amefiwa na mwanae mchanga leo asubuhi muda wa saa tatu na nusu katika hospitali ya Mount Meru iliyo jijini...
Habari JF,Mi ni kijana wa umri wa miaka 32,natafuta Demu wa kupiga nae game(kujigy).Awe anajituma kiasi ktk game,awe wa kawaida tu sio lazima awe mzuri kiviilee!Awe na kautundu
flani ktk...
Ninatanguliza salamu kwa JF members,
Hivi karibuni nilikuja hapa nikiwa na shida ya kutafuta mwenza wa maisha. Ninashukuru kwani japo vigezo vilionekana kuwa vigumu lakini maombi yalikuwa mengi...
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 31,nina mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili.elimu yangu ni shahada ya pili ninaishi dar. Ninatafuta mchumba hatimaye awe wangu wa milele,nimpende...
Kwa nini unakuta either msichana au mvulana,anaekupenda humpendi,na asiyekupenda,ndo unampenda kwenda mbele.Maana sijielewi..anaenipenda simpendi,yule asiyenipenda ndo nampenda.Hili ni tatizo gani?.
Ni kweli wapo ambao wamepata watoto kwa bahati mbaya, wengine walijaribu
hata kutoa mimba ikashindikana. Ninaowakusudia hapa ni wale ambao wamedhamiria
kupata hao watoto. Tena wengine wamethubutu...
Nina miaka 25, mhandisi mwanafunzi niko mwaka wa mwisho. Natafuta mpenzi wa kike, ambaye atakua tayari kua mke baadae. Awe na umri usiozidi miaka 23, mkristo mwenye heshima zake na alie tayari...
am black in color not so short or tall but medium in height a bit tough with little obesity.Those who are interested with these criteria are mostly invited
Natarajia kudhuru South Carolina kwa siku kuu ya X-mass nitakuwepo kuanzia Ijumaa, so kama kuna member yupo pande hizo ningependa tufahamiane, maana mnapokutana wote toka sehemu moja ina leta furaha.
Tunapoelekea mwishoni mwa mwaka huu wa 2011 ni lazima tufanye tafakari ya yaliyojiri kwenye mwaka huu. Kwangu mimi kama kuna thread bomba ndani ya MMU basi ni hii iliyoanzishwa na Finest, "What...
Habari JF peoples!
Je ni lazima kumuandika mme/mke wako kwenye simu yako iwapo namba yake unaijua kwa kichwa? Yaani ukitaka kuwasiliana nae una dial tu namba zake kutoka kichwani? Kama kuna...
Utafiti wa hivi karibuni umebaini kwamba, wanawake huwazidi wanaume katika kiwango cha kujilimbikizia vijidudu vya maradhi kwenye maeneo yanayowazunguka, ikiwa ni pamoja na meza zao za kazi...
Kwa kifupi nina familia ya mke mmoja ninayempenda sana na watoto wawili. Miezi kama tisa iliyopita nilipata matatizo ya kupunguzwa kazini baada ya Ka-NGO nilikokuwa nafanyia kazi kukosa wafadhili...
naomba nisaidiwe kwa hili, ni process zipi unatakiwa kuzifuata ukitaka ku adopt mtoto Tanzania? nipo nje, nataka nirudi home ni adopt mtoto.(mtoto wa ndugu yangu)
nahitaji kujua process za mtu...
Nimekua najiuliza siku zote kwanini relationship nyingi zinavunjika eti kwa kuwa mwanaume ame have sex na mwanamke mwingine? Ndugu zetu wa kike eti wanaamini kuwa uki sex na mwanamke mwingine ni...
ANAVYOTAZAMA
Mwanasaikolojia Zick Rubin kutoka Chuo cha Havard nchini Marekani aliwahi kusema kwamba watu wanaopendana hutumia asilimia 75 kutazamana kuliko wasiopendana, ambao kiwango chao ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.