Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naitwa brian,asili ya kikenya!namtafuta mwali wa asili ya kibongo,awe na umri wa miaka kati ya 17-22.awe ni wa kufundwa unyago.aweze kuzungumza kiingereza na hasa kiswahili.asiwe na mtoto.tunaweza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna wakati inatokea ukawa na mpenzi iwe mpenzi wako wa kike ama wa kiume. Kama ilivyo kawaida mapenzi kati ya mtu na mtu mara kadhaa hua yanakuja kwa misimu au awamu (seasonal). Nikimaanisha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
I just ended a six-month relationship because the person whom I believed to be the man of my dreams turned out to be a cheater. At this point in my life, I have given up all hope in men. It's...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NIMEKUWA nikilieleza hili mara kwa mara kwamba mapenzi yanapoangaliwa kila upande, unakuja kupata jibu kwamba hakuna uhusiano uliokamilika. Muhimu kwako ni kumkubali mwenzi wako kama alivyo na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina gf ila shida ni kwamba mara nyingi huwa nikipanga appointment nae huwa analeta excuse, na pia mara nyingine nikimuandikia sms au kumpigia cm huwa anaweza asipokee cm au asijibu sms,sasa hiyo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Thread hii ni maalum kwa wadada hasa waliopo kwenye mahusiano ila bado hawajaolewa na wana mpango endelevu na wenza wao Wadada wengi wanashindwa kutambua wapi wanapendwa na wapi wanadanganywa...
21 Reactions
315 Replies
20K Views
leo itabidi niwaseme kupitia nafasi hii,jamani kuna baadhi ya wanawake wanatakiwa wajitambua thamani ya utu wao na miili yao,nasema hayo kutokana na research yangu isiyo rasmi.Kuna akina dada...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Katika pita pita yangu angani, nimekutana na hii habari, uchunguzi mpya uliofanywa na kiwada kimoja cha CONDOM nchini UINGEREZA umeonyesha kwamba, wanawake wa NIGERIA, wanaongoza kwa kutokua...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mimi saa nyingine huwa napitia thread nyingi humu mmu hadi nashangaa. Nimejaribu kutafakali huu ushauri na maujanja ya hawa dada zetu wa jf wanautoa wapi? Ikabidi nitafute sample tu ya kuangalia...
0 Reactions
92 Replies
7K Views
Jamani kuna tofauti gani kati ya Mapenzi na Upendo? Mfano "Fulani ana mapenzi ya kweli" na ''Fulani ana Upendo wa kweli"
0 Reactions
4 Replies
21K Views
Nina g.f ambaye tumepanga kuoana muda si mrefu Mungu akijalia. Siku za nyuma nimewai kuwa na mahusiano tofauti na wasicha wengine ila nilikuwa mgumu sana katika kutoa pesa yangu na mapenzi niliona...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Kijana mmoja aitwaye Islam nchini Bangladesh amemkata mkewe vidole, baada ya kumlaghai kuwa afumbe macho ili ampe zawadi ya kushtukiza (suprise). Dada huyo mwenye umri wa miaka 21 alifumba macho...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Mtu anafahamu kabisa,huyu demu alikuwa wa rafiki yangu,tena ukute watu kibao wanajua,na wewe kwa ajili ya kutokuwa na gal,akiachwa kidogo tu unajipelekesha..huwezi kutafuta wako,mpaka ijulikane...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Salamu ziwafikie popote mlipo, pia poleni na majukumu ya kila siku. Siku hizi hii kauli ninaiskia sana kwa wenzangu kwamba "eti siku hizi hakuna wa peke yako" na wanaongeza kuwa "ukimtaka wa peke...
1 Reactions
60 Replies
6K Views
Katika mwisho huu wa mwaka hasa siku kuu ya X-MASS na MWAKA MPYA ungependa kumpa MUME, MKE au MPENZI wako zawadi gani? Ili kumuonyesha kwamba unampenda.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
natafuta mchumba jamani awe mwaminifu kama obama,,,awe mvumilivu wa maneno kama lyumba...mchapa kazi kama kimei asiwe anasafir safiri ovyo kama rais kikwete...ajiandae kwalolote
1 Reactions
44 Replies
11K Views
asalaamu!naandika sredi hii nikiwa na mtetemo wa mkono!naomba tumsaidie tafadhali!ni rafiki yangu sana kitambo sasa,tulisoma wote olevel na baadaye chuoni miaka adhaa iliyopita,huwa tunawasiliana...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Ni mara kadhaa nimekua siteremshi uzi hapa kabla sijafanya mapembuzi yenye uyakinifu wa kina. Dhamira yangu hapa ni kuyaweka hadharani yale niliyoyafanyia utafiti kuhusiana na kundi hili la...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Mwaka 1990 wakati nafunga ndoa na mume wangu sikutarajia kwamba , ningekuja siku moja kumfumania na mwanamke yeyote. Alianza kunisimulia mama huyu, ambaye hapa ningependa mumfahamu kama mama...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Aslamu aleko jf, ivi kwann mademu ukikutana nae wakati yupo kwenye tight environment na ukampa msaada na yeye haamin km umemsaidia kibinadamu anataka abaki au ubaki na 4n namba 4 further...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom