natafuta mchumba-serious pls no jokes!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta mchumba-serious pls no jokes!!

Discussion in 'Love Connect' started by noella, Nov 19, 2011.

 1. n

  noella Senior Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 31,nina mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili.elimu yangu ni shahada ya pili ninaishi dar. Ninatafuta mchumba hatimaye awe wangu wa milele,nimpende anipende awe tayari kumkubali mwanangu kama wa kwake.

  Awe na sifa zifuatazo;

  Mrefu mwenye mvuto,
  Awe mkristo anayependa kusali na mwenye kumuogopa Mungu,
  Awe mwenye mapenzi ya dhati na sio macho juu juu,
  Awe mwenye kukosoa panapohitaji kukosoa na sio kukaa na gubu na kutafuta suluhu nje,
  Awe mwenye elimu angalau degree moja kama si mbili,
  Awe mpenda maendeleo na mwenye kuona mbali hata kama hana kitu,
  Awe muwazi na si muongo,
  Awe muelewa na mwenye kujali.

  Kama uko serious ni-pm tuone kama tuta-cope na Mungu aweke mkono wake.

  Nawashukuru na kuwatakia weekend njema.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  We kabila gani vile?
   
 3. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu hahitaji hayo mambo yeye anataka uwe na mvuto!
   
 4. n

  noella Senior Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mmeanza mautani ee??ningehitaji kabila kwenye hizo sifa ningesema sioni sababu ya kusema kabila langu pia.
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Ntamuoaje kama sijui kabila lake? Hata mie na haki ya kujiridhisha kwanza kabla sijaingia hapo

  Binti,, wewe kabika gani?

   
 6. n

  noella Senior Member

  #6
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kama uko serious nipm please.
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Mume mwema hatafutwi kwenye keyboard.

  Mtaani kwenu umekosa! Shuleni umekosa! Kazini pia umekosa basi kuna uwezekano mkubwa we ni mbaya sana.
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,279
  Trophy Points: 280
  Ndio maana hajaolewa mpaka amezeeka, anasumbuliwa na infiriolity complex, sasa kwenye mapenzi degree inahusikaje? kama mtu ni mwanaume bora na ana Diploma yaani kwake si sahihi! asichokijuwa tu ni kwamba Bill Gates hana degree.
   
 9. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #9
  Nov 19, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Asee umepotelea wapi?


  Mda mrefu sana ndugu yangu.
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,279
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa UK kwa miezi mitatu, sikuwa na muda kabisa wa kukaa na laptop ilikuwa ni mchakamchaka, na hata Blackberry ninayotumia nina access tu ya kuingia lakini kucoment siwezi hata nikilog in lakini JF inakataa comment zangu, bado sijajuwa tatizo la hii simu ni nini.
  Anyway am in Dar for almost two weeks now, sweet home. Pamo1 sana.
   
 11. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #11
  Nov 19, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ok, nafurahi kukuona tena... Karibu tena jf..
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,279
  Trophy Points: 280
  Am in the house,...........
   
 13. GodfreyTajiri

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #13
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 60
  je mwanamume mwenye mtoto/watoto anakubalika?
  vipi kuhusu mtaliki? je umri gani wa mwanaume unaoutaka?
   
 14. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #14
  Nov 19, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Namie nakuona umejaa tele... Sasa ntaanza kuchungulia kwenye siasa, manake nilikimbia kwa mda...


  Unihifadhie zawadi za ng'ambo takuja kuzichukua..
   
 15. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #15
  Nov 19, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Jamani watu,eti amezeeka,ng'ombe hazeeki maini
   
 16. M

  MUJY Member

  #16
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vipi huyo "mchumba-serious plis no jokes ni nani? Ss huku kwe2 hatumfahamu labda jarb kwenye facebook au twitter wenda wanampata na unaweza pata taarifa zake kwa undan zaidi! Duh....umechemka vibaya,pole sana!
   
 17. zakiyah

  zakiyah JF-Expert Member

  #17
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 284
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  dizain mchaga.
   
 18. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #18
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nashauri uanzishe thread yako ya salamu siyo unadandia treni kwa mbele.
   
 19. g

  goodlucksanga Senior Member

  #19
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nipo sifa ya mvuto nipo kama Pinda kisura
   
 20. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #20
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wewe ni role model na wadada wa Jf naomba waige mfano wako. Umekuwa wazi kwa kila jambo. Usikate tamaa kwa maneno ya kejeri na ya kukubeza. Uamuzi wako ni mzuri na mungu atakuongoza kujua pumba na mchele. Kila la heri.
   
Loading...