Swali kwa wanandoa

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Habari JF peoples!
Je ni lazima kumuandika mme/mke wako kwenye simu yako iwapo namba yake unaijua kwa kichwa? Yaani ukitaka kuwasiliana nae una dial tu namba zake kutoka kichwani? Kama kuna umuhimu wa kuisevu ni upi?
 
Umuhimu upo. Chukulia kwa mfano umepatwa na dharura, tuseme una kifafa na umeanguka sehemu ambayo hakuna anayekujua. Wasamaria wema wanakuja na kuanza kukupa msaada. Wanaiona simu yako na kuanza kuangalia orodha ya uliowahifadhi.

Wanaona jina la Ashura ambalo umelihifadhi kama 'Ashura - mke wangu'. Wanampigia na kumtaarifu yaliyokupata. Hapo huoni tu umuhimu wake?
 
Yah mkuu hii nimeikubali mzee
 
Sasa wanao save majina ya ajabu ajabu wakome kabisa kumbe hii ni muhimu sana
 
NN wewe mzoefu sana utakuwa hata umri unanizidi nakukubali mzee
 
Du! Mi nimeweka jina lake tu, kumbe niongeze na title ili wakati wa shida atambulike kwa urahisi.
Thanx NN
 
Ngoja ni save sasa maana mie nilikuwa natoa kichwani. Asante sana
 
NN wewe mzoefu sana utakuwa hata umri unanizidi nakukubali mzee

Kwa kweli sina uzoefu wowote na wala kiumri si mkubwa kama baadhi ya watu wadhaniavyo.

Napenda tu kuongozwa na common sense na niko realistic na practical katika mienendo yangu yote.
 
Du! Mi nimeweka jina lake tu, kumbe niongeze na title ili wakati wa shida atambulike kwa urahisi.
Thanx NN

Unachotakiwa kufanya ni kuwa na orodha ya watu kadhaa ambao - in case of emergency - ndo utapenda wafahamishwe.

Unasave jina kwenye simu yako halafu mbele yake unaandika ICE, kwa mfano, Nyani Ngabu - ICE, Companero - ICE, etc.

ICE hapo inasimama badala ya In Case of Emergency.
 
Kwa kweli sina uzoefu wowote na wala kiumri si mkubwa kama baadhi ya watu wadhaniavyo.

Napenda tu kuongozwa na common sense na niko realistic na practical katika mienendo yangu yote.

Mkuu sijasema una umri mkubwa. Nimesema una umri kunizidi mzee maana mimi sikuwaza ulichoandika nimekuelewa
 
Sasa umejuaje nina umri kukuzidi yakhe? Kwani ulikuwepo wakati nazaliwa? Au ushawahi kuona cheti changu cha kuzaliwa?
 
Unachotakiwa kufanya ni kuwa na orodha ya watu kadhaa ambao - in case of emergency - ndo utapenda wafahamishwe.

Unasave jina kwenye simu yako halafu mbele yake unaandika ICE, kwa mfano, Nyani Ngabu - ICE, Companero - ICE, etc.

ICE hapo inasimama badala ya In Case of Emergency.

Do you think all the people will know the kifutpi ya ICE? Nafikiri NN YUPO SAHIHI
 
Umeniona mimi nini? Maana hizo mimi ndio zangu, halafuu ukipata kitu kama ajali hivi, watu wakichukua simu yako wakaona umesevu kitu cha husband sio ndio itakuwa rahisi kuwasiliana naye au?
 
Mie nimeshaona umuhimu na nimesha save nimefunguka akili mukichwa
 
duh, nimesave jina tu, tena kwa ufupi mno
hii ICE naiongeza japo hata mie ndo nimejifunza leo
ngoja nitoe darasa kwa hawa wanaonizunguka kwanza nijichukulie ujiko fasta.
 
Back
Top Bottom