Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naitw dick-masomoni dodoma.Natafuta msichana atakayekuwa tayari kwa uchumba!awe na tabia njema na mcha Mungu!pia awe na sifa zifuatazo 1.umri 22-26 2.awe na elimu f4 na kuendelea 3.mkristo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naheshimu sana mafunzo na mawaidha wanayopewa wanawake katika kitchen party zao, na nampa big up sana AdhaDii (kama sijakosea kwa uzi wake wa kuwanoa wake zetu aliouweka hapa siku kadhaa...
8 Reactions
32 Replies
35K Views
I met my husband 3 years ago; he was introduced to me by a mutual friend. We started distance dating for 6 months as he was far away from me, although I had not met him before my instincts told me...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Hivi ni kwa nini unaamua kuingia kwenye maisha ya mtu kama unajua fika kuwa hauko tayari kukaa naye? Nawasilisha
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Juzi niliandika waraka kwa wana JF wote kuwatakia heri ya Christmas na mwaka mpya na pia kuwamkumbusha machache kuhusu maisha na mienendo ya mahusiano ikiwemo inf ...! Leo hii, kuna ndg kani-PM...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
uchunguzi nilioufanya hivi karibuni, nimegundua kuwa baadhi ya wanaume walioa hawapendi kutoka outing na wake zao na badala yake hupenda kutoka na rafiki zao wengine wa kike au marafiki wa kawaida...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Amani kwenu wadau. natumai wote mu wazima..nahitaji msaada ktk hili. Je muda wa kuoa / kuingia kwenye ndoa ni upi?..na Je ni sahihi kuangalia kigezo cha umri au kazi kabla ya kuamua kuingia kwenye...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
A professor once said that the reason why women rejoice greatly during their weddings while the men keep a straight faces was because, the woman feels like:"oh, at last I have nailed him!" and the...
0 Reactions
116 Replies
12K Views
Dear Wana MMU, Shukrani za kipekee ziwafike kwa michango yenu ambayo binafsi, naamini imemnufaisha kila mmoja wetu si tu kwa mada ziliopostiwa hata kwa comments za wadau zenye ushauri mzuri wa...
13 Reactions
93 Replies
6K Views
Mvulana kamtumia msichana friend request,wanajuana tangu zamani tu,kama wanafunzi waliosoma pamoja.chakushangaza kusuggestiwa awa add kama marafiki ndugu zake yule msichana wote..kuanzia mdogo mtu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Naombeni WASIFU wa mabinti wa Kinyiramba. .
0 Reactions
74 Replies
26K Views
Wanajamvi, Naomba mnijuze kwa wale wenye uzoefu na wale ambao bado hamjafanya maamuzi
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Natafuta mchumba,awe anajiheshimu,mchangamfu asiwe mrefu sana yan awe size ya kati and any colour is ok.nipo chuo kikuu cha afya muhimbili nasoma na na tutor wa kampala university am jas 23 of age...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Umeingia kwenye Bus una safiri, safari inayochukua zaidi ya masaa 20. Hukuwahi kukata ticket mapema, kondakta anakwambia zimebaki nafasi mbili ambapo unakuta seat ni 2 x 2 (abiria wawiliwawili)...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Nampenda na yeye ananipenda. Kinachoniumiza kuna watu wanaonifahamu wanamfeed mambo yangu ambayo hayamvutii. Kuna wengine wanamtajia wasichana niliowahi kuwa nao. Mwingine alifika mbali zaidi na...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Asilimia kubwa ya wanawake wanawaza kuwa na wanaume wenye fedha nyingi, magari mazuri nakadhalika, je ni wanaume wanangapi walivyo navyo hivyo vitu na je, hao wenye navyo wanakidhi idadi ya...
0 Reactions
105 Replies
12K Views
Girls with fake hair, fake nails, fake eyelashes,fake color skin,fake boobs,fake eyes and fake ass wonder why they can't find a real man???
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Salaam kwenu wanaJF, mi mvulana mwenye umri wa miaka 22, natafuta rafiki wa kike wa kuchati nae, kubadilishana mawazo na uzoefu mbalimbali, sibagui kabila wala dini ila umri usipishane sana na wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamaa alijikuta akimtongoza mkewe wa ndoa na kuumbuka kwa ukiwembe na tamaa zisizo na mpango maana mkewe ni mzuri na mwenye tabia njema. Kilichotokea ni kuwa jamaa alienda pale chuo cha IFM na...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Hivi hii kweli hii sentensi ya kweli au miye nimefikiria tu.. ?
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Back
Top Bottom