Wanawake hao wanapinga kile cha kuambiwa kuwa wao wanakwenda kufanya umaraya india kwa hyo hawastaili vizaa
Ukrainian women rage against Indian prostitute ‘slur' | euronews, world news
INNOCENT NGARULA [40] amejikuta akidhlilishwa na mke wake usiku wa kuamkia jana baada ya mke huyo kuamua kutoa siri ya malumbano kati yao na kubainisha mume wake alikuwa akihitaji kumuingilia...
Nimetembea na mke wa mtu na alikuwa mpenzi wangu tangu tulipokua wadogo. Tulitengana kwa sababu za kijiografia tu. tumekutana kwa sababu za kazi wakati yeye kaolewa nami nikiwa na mke tayari...
Siamini usemi wa "dawa ya moto ni moto" hutumika kila mahali................mfano wandani wako kakuletea shombo na mambo yote yamegeuka bokoboko......utafanya malipizi ya dawa ya moto ni moto au...
kuna mtu ambaye MOYO wake ushawahi ku appreciate kwamba anampenda NDUGU yake, kwamba inafika kipindi yeye mwenyewe akubali kwamba kweli anampenda kuliko ndugu wengine achilia mbali na undugu wa damu?
baadhi ya wasichana huyaelekeza macho yao kwa wanaume matajiri wakisahau kuwa hakuna mtu aliyezaliwa na utajiri bali hata masikini wa leo anaweza kuwa tajiri baadae.
baadhi ya wasichana...
Ilikuwa ni mwaka 1988 nikiwa nimekuja Dar kwa kaka yangu baada ya kumaliza kidato cha nne na kufeli vibaya huko kijijini. Tulikuwa tukiishi kariakoo mtaa wa Sukuma. Kaka yangu alikuwa amepanga...
kuna msemo usemao......................ukitaka kumla kuku usimchunguze sana...................na kwenye mahaba mambo ndivyo hivyo...............tatizo la walimwengu huangaishwa na nafsi zao...
Katika hali ya kushangaza mwanamke mmoja mkoani Mbeya amejikuta anaamka asubuhi huku nyeti zake zikiwa hazipo na kumfanya achanganyikiwe na kuhaha huku na huku mahospitalini bila kupata ufumbuzi...
Kuna binti anatoka na babaye, anadai "dingiye" aliomba aonje malezi yake eti naye alikubali. Sasa hivi analelewa na"dingiye" kama nyumba ndogo. Baada ya watu kumsema sana anaomba ushauri mimi...
Habari wana jf,kuna jambo natatizwa nalo khs mahari,wengine wanasema mahari huwezi kulipa yote unapolipa lazima ubakishe na wengine husema mahari unaweza kulipa yote uliyopangiwa na hakuna...
Nina mchumba ambaye tunamuda mrefu kidogo kwa sasa, mwanzo tulipokutana tukawa tunawasiliana kama marafiki wa kawaida lakini cku moja akanitamkia kuwa ananipenda na anataka tuwe wachumba ambao...
wazee nimetuma message ya nyumba ndogo kwa wife kwa bahati mbaya. Nilikuwa nachati nao wote kupitia yahoo messenger sasa nikajikuta namtumia msg wife badala ya nyumba ndogo. wife alisha log out...
Ni hali ya kawaida mvulana kumtongoza msichana, wakikubaliana, mvulana hutenga fedha kwa ajili ya: kununua chakula, vinywaji, nauli, gharama ya chumba (for action), kutoa hela ya vocha ya simu...
wakuu nina umri wa miaka 32 male, na mwenzangu ana miaka 27: mwenzangu ni mpare mi mnyakyusa. tulianza mahusiano mwaka 2006; kabla hatujaanza mikakati ya ndoa nikaenda masomoni mwaka 2008. ikawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.