Special for ladies!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Special for ladies!!

Discussion in 'Love Connect' started by MCHUMIA NCHI, Dec 19, 2011.

 1. M

  MCHUMIA NCHI Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari JF,Mi ni kijana wa umri wa miaka 32,natafuta Demu wa kupiga nae game(kujigy).Awe anajituma kiasi ktk game,awe wa kawaida tu sio lazima awe mzuri kiviilee!Awe na kautundu
  flani ktk game.Hakika ata enjoy saana kwani Mimi ni FUNDI.alie tayari ani PM
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  direct to the point....kumbe tupo wengi
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  wengi kwenye nini......?
   
 4. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  nazani pm zinamiminika si kipolepole.
   
 5. YNNAH

  YNNAH JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,663
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  mungu akutangulie kaka...utampata
   
 6. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wengi tunaopenda kusema ukweli kuhusu intentions zetu sio kumdanganya demu kuwa oh nakupenda kumbe namtamani tuu.
  wish wanaume wote wange kuwa hivi nadhani chakula kitamu tusingekuwa tunakihangaikia sanaaaaaaa
   
 7. M

  MCHUMIA NCHI Member

  #7
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hamna PM wala nini,wazushi tu!!
   
 8. M

  MCHUMIA NCHI Member

  #8
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amina,wewe vp hauihitaji hii huduma?Kama una ihitaji ni PM tu utaipata,au nikupe address yangu ya OVI na Mimi?
   
 9. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #9
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Wema sepetu ameachika, mtafute diamond atakupa contacts zake....she fits your needs and demand
   
 10. M

  MCHUMIA NCHI Member

  #10
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wema Sepetu ni MZURI ila miguu ni myembamba kama kopo la dawa ya mmbu(Rungu,Expel,Baygon etc).Anyways it doesnt matter.The matter is afya yake ikoje?Liyumba kapita lakini!!!!!Mi hua nacheki every 3 month na NIKO fresh kabisa.Kwake je?Je yeye?.
   
 11. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #11
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kweli kizuri chajiuza kibaya chajitembeza....eti mie fundi..hhahahhaaa,hayaaa fundi majamboooz...:lol::lol:
   
 12. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #12
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Duh, yaani unamsapoti! Hata basi m-pm huyo sharobaro.
  Nahisi siku hizi sex is something that can casually asked and done. "I want, she wants, lets go and do" baada ya hapo kila mmoja anakula kona.
  Natabiri huko twendako hata biashara ya kuuza na kununua ngono haitakuwepo tena, wadada wanaofanya hiyo biashara watafute kazi nyingine ya kufanya.
   
 13. YNNAH

  YNNAH JF-Expert Member

  #13
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,663
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  atafutae hupata Ibrah,naye atapata.....
   
 14. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #14
  Dec 20, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  @Naima, vipi kule ulipata? Nimekuwa nikufikiria na kukuombea upate umtakaye na wewe.
   
 15. YNNAH

  YNNAH JF-Expert Member

  #15
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,663
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  mungu apokea dua zako ndugu yangu........
   
 16. M

  MCHUMIA NCHI Member

  #16
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lazima uwe muwazi mkuu,mambo ya kuficha ficha siku hizi hayana deal,afterall haisaidii kuficha ficha vitu
   
Loading...