Nawatakia Christmas njema na Heri ya Mwaka Mpya 2012

ram

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
9,252
8,341
Habari zenu wanajamvi (MMU)!

Napenda kuwatakia kila lililo jema katika sikukuu ya Noel na kuwatakieni nyote baraka za Mungu katika mwaka mpya wa 2012 unaokuja. Naenda kijijini kwa mapumziko, nitalimisi jamvi for almost two weeks, Mungu akipenda tukutane na kuwasiliana tena through jamvi hili January 2011.

Wale wote wanaosafiri kama mimi nawatakieni safari njema, Mungu awawezeshe kwenda na kurudi salama na zaidi sana msherehekee sikukuu kwa amani na upendo.

Merry Christmas & Happy New year 2012 to you all!

RAM
 
Back
Top Bottom