Member wanaoishi SC

The Hunter

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
1,049
305
Natarajia kudhuru South Carolina kwa siku kuu ya X-mass nitakuwepo kuanzia Ijumaa, so kama kuna member yupo pande hizo ningependa tufahamiane, maana mnapokutana wote toka sehemu moja ina leta furaha.
 
SC kubwa. SC pande gani? Myrtle Beach, Hilton Head Island, Greenville, Columbia, au Charleston?????
Secondly, pesa zako ndio mwenyeji wako.
 
Hautafika calfornia ,maana me ndo ntaweka kambi kwa muda hapo mkuu?
 
ntapitia Shallote kuwaona jamaa then ntafikia columbia, so kama upo pande hizo si mbaya kufahamiana
 
Wabeba boksi mkibishana, sie wageni mtatuchanganya. Siku nikija nimuambie rubani anishushe wapi sasa?
Mkuu mwambie akushushe kati ya Mexico na USA then walk from there. I doubt if you can make it but you can give it a try!
 
Back
Top Bottom