Adoption

Loading.....

Member
Nov 1, 2011
20
0
naomba nisaidiwe kwa hili, ni process zipi unatakiwa kuzifuata ukitaka ku adopt mtoto Tanzania? nipo nje, nataka nirudi home ni adopt mtoto.(mtoto wa ndugu yangu)

nahitaji kujua process za mtu ambaye ana uraia wa bongo na mtu ambaye hana uraia wa kibongo, ni tofauti au ni sawa? kuna ugumu wowote?
 
Back
Top Bottom