Hatimae nimempata barafu wa moyo wangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimae nimempata barafu wa moyo wangu

Discussion in 'Love Connect' started by Nakadori, Dec 17, 2011.

 1. Nakadori

  Nakadori Senior Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Ninatanguliza salamu kwa JF members,

  Hivi karibuni nilikuja hapa nikiwa na shida ya kutafuta mwenza wa maisha. Ninashukuru kwani japo vigezo vilionekana kuwa vigumu lakini maombi yalikuwa mengi sana lna pia shuhuli ya kuyascreen na kutoka na ngano safi imekamilika salama, na hatimaye mfalme wa moyo amepatikana. Ninashukuru kwa mwitikio wenu.
   
 2. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha ha,mi huwa ni tomaso siamini ila hongera sana,natumai uhusiann utadumu,
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkubwa! Si umweke wazi tu? Ama ni mpaka kieleweke.
   
 4. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hongera,mpunga lini?
   
 5. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  anaogopa kuibiwa mkuu,
   
 6. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 762
  Trophy Points: 280
  Anaogopa kumuweka wazi, usawa huu watu wana ukame na ndoa....hata ningekuwa mimi simtambulishi kwa watu eti, mweeeeehh
   
 7. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Nazani atakuwa ni Rejao
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Dec 17, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Lol..Bishanga ndiye mtaalamu wa kubeba humu! Mi kisera nimeshafulia!!
   
 9. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #9
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Bishanga aliondoka na Eliza wa Tegeta, kama sio wewe nazani atakuwa rais wa wabeba maboksi
   
 10. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mbona wewe unajitoa? Sidhani kama kuna mdada hapa JF asiyemjua mzee wa sound Kloro aka lawyer!!
   
 11. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Mimi CV yangu ilidundishwa kwenye group stage hata raundi ya pili haikupenya.
   
 12. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #12
  Dec 17, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mmmmh...ngoja nikamuulize husninyo kama haya ya kweli!
   
 13. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #13
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe halaf rejao bana, husninyo ni shemeji yangu ofishal nekst wik tunasherehekea aniversary ya ushemeji wetu.
   
 14. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #14
  Dec 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hongera sana. Kupata barafu wa moyo wako ndani ya wiki tatu sio mchezo. Hope haitayeyuka mapema pia.
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Akishirikiana na tanesco vizuri, atakuwa anaiweka kwenye jokofu, anaitoa tu saa ya kupooza moyo wake na kuirudisha
   
 16. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #16
  Dec 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Na huu mgao wa umeme wa mara kwa mara si inaweza kuwa shida kushirikiana na Tanesco?
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Mbele ya barafu ya moyo baba? Atawekeza kwenye kajenereta ka The Boss. Tanesco wakibuma tu anajiwashia,lol
   
 18. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #18
  Dec 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Tatizo genereta za Ze Boss zina noise sana. Halafu bei ya mafuta inavyopanda mara kwa mara kajenereta kanawezamshinda.
   
 19. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #19
  Dec 17, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Embu muweke wazi nimjue,
  Isije ikawa ni yule alienikubalia na mimi pia,
  Si wajua "job-seekers" hua hawaombi sehemu moja tu!!
   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Weeh sasa unazeeka banaa! Genereta unapewa 7 days trial na mafuta juu! Zikiisha unarudisha unasema halifai, unachukua jipya for another trial. Issue ni kuhakikisha KVA ni the same or else compressor itakua ya kununua daily,lol
   
Loading...