Hiki kimewahi kunitokea.........

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,093
Wakati nasherehekea siku yangu ya kuzaliwa kuna kituko kimewahi kunitokea nimekikumbuka sana leo.

Kuna binti mmoja amewahi kutangaza ana mimba yangu wakati hata kusalimiana naye sikuwahi. Halafu mbaya zaidi na mama yangu akajua halafu naye akaamini na akawa anataka kuthibitisha kwangu kimtindo.

Dah wanawake shughuli

Happy Christimas & Marry New Year MMU friends
 
Mkwe naomba uniwekee mbege yangu. . .
Kuna sehemu niliona unesena leo umeamka na hangover. . . .usimalize yote bana.

mkwe uko wapi mie nakusubiri pale pa jana au kuna jam
hebu njoo fasta kabla haijawa ngera
 
mie kuna mwanamme alinisingizia nimempe ujauzito, duh kuna mambo

Dah we mtu nafikiri watu walioko karibu na wewe wanacheka kila dakika, maana always unakuja na kitu kisichotarajiwa. Haya bhana sa huyo mwanaume na mimba ikakaa wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom