Kuelekea mkesha wa x-mas wanawake kuweni makini na waume zenu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuelekea mkesha wa x-mas wanawake kuweni makini na waume zenu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jakubumba, Dec 24, 2011.

 1. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ni ukweli usiopingika kwamba wanaume sio waaminifu ktk mapenzi ukilinganisha na wanawake! Ktk utafiti niliofanya nimegundua kuwa asilimia 80 ya wanaume sio waaminifu ukilinganisha na asilimia 20 ya wanawake. Ktk mkesha wa x-mas wanaume hujifanya wanaenda kanisani kumbe wana mambo yao mengine. Haiingii akilini mwaka mzima unamuona mkeo au mpenzi wako anaenda kanisani wewe umelala then unakuja kukurupuka siku moja tu kwa mwaka. Hivo basi ni jukumu la wanawake kufuatilia mienendo yetu ktk sikukuu hizi maana inaaminika ndoa nyingi hukumbwa na dhuruba wakati huu. Tumsifu yesu kristu!
   
 2. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  na milele amina,we jishauwe tu,yakikufika hutesema
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  80% kwa 20% ?
  Acha mchezo wewe.

  Hata hivyo wahusika wamekusikia, watasindikizana.
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  milele amina

  haya wenye waume warning hiyoooooooooooooooo.........
   
Loading...