Nyamayao...

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,316
18,717
...Ilikuwaje hata ukawa na hili jina?

Just curious

kuna thread ya members wanaelezea ni kwa nini waliamua kujiita majina haya wanayotumia hapa JF.....omba msaada wa kutafutiwa mimi sijui.....utajua asili ya kila mmoja
 

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,937
kuna thread ya members wanaelezea ni kwa nini waliamua kujiita majina haya wanayotumia hapa JF.....omba msaada wa kutafutiwa mimi sijui.....utajua asili ya kila mmoja

Wandugu,

Mwenye kujua na anisaidie kulingana na ushauri wa Preta.

Natanguliza shukurani
 

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,150
9,097
:juggle::juggle: mmmmmmhhhhh nikimaliza kufanya hili zoezi nitakupa jibu.....
subiri kidogo tu.......
 

Ferds

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
1,264
191
...Ilikuwaje hata ukawa na hili jina?

Just curious

Yakhee weye nilikuonya tangu awali ......n'kakwambia........ uctie n'guuu, usionje nyama yao mwenyewe fundi ....ajua kupika , shekhe hukisikia...........sasa ona umeshindwa kuficha siri wakiri barazani kuwa Nyamao ni tamuuuuuuuu kheee.............. mbona waleta mazongee, maana tafrani hili, namalizia kwa msemo wa wahenga maana walongaaaaaa ebwana........ "Al maujunu fil kun'fil al funduku" Maana yake ........ Yale ya Uchawini yaachwe uchawini c kuyaleta ktk hadhara yakheee
 

Nyamayao

JF-Expert Member
Jan 22, 2009
6,966
2,336
mtoboasiri!...hili jina lilikuwa la utani kuanzia nikiwa skul, kuna fnd wangu wa kiganda alikuja likizo tz enzi zile za michezo ya luninga ya kina nyamayao, bac tu alitokea kulipenda akawa ananitania" nyamayao"....Cheusi babie nakumic pia ni maandalizi ya kwenda kuhesabiwa ndio yananiweka busy.....:kiss:
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom