nahitaji msaada wa mawazo wapendwa....

mymy

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
296
110
habari za leo ndugu zangu...kuna bf wangu ambaye tulianza urafiki zaidi ya miaka kama 2 na nusu iliyopita, japo tulijuana kwani tulisoma primary pamoja lakini hatukua na uhusiano wowote ule. kwa miaka hiyo 2 na nusu tulikua na long distance relationship coz kila mmoja wetu alikua akisoma nje, tukakubaliana kuoana hapo baadae. jamaa karudi 2 months ago nikafurahi sana coz kama mjuavyo long distance rltn huwa inamitihani mingi. sasa hali imeanza kuwa tete baada ya kukuta message za mapenzi tena kutoka kwa wasichana tofauti zaidi ya wawili, kumuuliza baba kulikoni jibu ni kuwa 1. hawezi kutolea maelezo kila message nitakayoiona....2. yeye mwanamke akimtumia message zenye design ya mapenzi na yeye atarudisha hivohivo...!!......nabaki njia panda maana kama mjuavo mapenzi raha yake kuoneshana mahaba japo kwa kuitana tu honey, baby...nk., sms na simu kupigiana. niko njia panda kama kweli ana mapenzi nami au ndo mambo ya changa la macho.....:A S embarassed:
 
waswahili wanasema 'unauliza makalio ya paka yako wapi huku mkia umeushika mwenyewe'?
 
mamie unajua nn............................embu jiepushe na huo msongamano.
 
Vuta subra, mpeleke temeke,amana,ilala kwenye wodi za waathirika ajionee hali halisi then atajifunza kitu
 
jamani bado watu wanahihangaisha na napenzi ya long distance tuu!!!??? fimbo ya mbali haiui nyoka.
 
fanya uchunguzi zaidi kabla hujafanya maamuzi. maana inawezekana anakupima kwamba huyu mtu anafanya tafiti kiasi gani mkabla ya kufanya maamuzi
 
hakuthamini. Angekupenda kwa dhati asingethubutu kuacha msg,na wala asingekupa jibu la dharau. Jipange ndg tafuta ustaarabu wako
 
Pole saana katika hili.... Taking in to consideration the long distance relationship inatakiwa ujue kabisa kua huyo jamaa kwa vovote hakukaa hivi hiv kwa kiasi kikubwa na lazima alikua na m/wapenzi.... Kwamba ulikua unaamini siku zooote hizo kua alikua faithful na anakusubiri tu wewe? Siamini kwa kweli... Hivo basi tokana na mtazamo wangu naona kama una mawili:-

  1. Acknowledge kua alikua na wapenzi wakati mpo mbali na kwamba muanze afresh kwa mahusiano with a new start leaving history behind. Kwamba mzike kabisa na wala isije pop up in the future just bcoz una hasira ama kutaka kumbushia makosa ya kale.
  2. Yabidi u-face the fact labda tu jamaa hana guts za kukuambia kua he is no longer into you again. Hivo basi wewe ndo umuombe mkae na muongee kua huo uhusiano upo wapi, waelekea wapi na if at all mna future pamoja. Yaweza kua ngumu to let go in case akitaka hivo... Ila muhimu ukumbuke kua the way utaumia ukilazimisha kuendelea ni zaidi kuliko if you let to sasa.... Best of Luck.
 
Oooo!pole sana cku zote ukiona panya anatishwa kwa jiwe,then hashtuk anabakia ku2tizama jua shimo liko karbu,2lia na mwambie aendelee na hao ubaki na mambo zako.
 
Back
Top Bottom