TANZIA! Mbunge wa Monduli afiwa na mdogo wake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANZIA! Mbunge wa Monduli afiwa na mdogo wake!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by LiverpoolFC, Dec 24, 2011.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Habari toka ndani ya mji Monduli ni kwamba Mbunge wa Wilaya ya Monduli amefiwa na mdogo wake wa kuzaliwa. Na bila shaka ni hbr nzito kwani kifo jamani ni janga kubwa kwa kila awaye yote,Habari hii ya uhakika nimezipokea kutoka ndani ya wilaya lengwa na nitaiboresha zaidi baada ya muda kidogo. Poleni wafiwa ndg jamaa na hata marafiki kwn MUNGU alimpenda zaidi! Nawasilisha!
   
 2. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole kwa ndugu na jamaa wote wa marehemu
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Muda si mrefu msiba huu utageuka uwanja wa siasa hapa tena za kifisadi vs watakatifu!!!!

  Pole sana Lowasa Mungu akupe uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mmmmhh! Hata nami nilishindwa tu kusema tusiielewe kisiasa zaidi msiba huu kwa huyu (MB),ila humu jamvini ndg zetu walivyo na machungu za Taifa lao linalodidimizwa na mafisadi wanaweza wakageuza kihivyo! Ila ningeweza niseme niwatake radhi na naomba tusifikiri hivyo!
   
 5. matwi

  matwi JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mola ailaze roho ya marehemu pahala pema peponi.Pole kwa familia na ndugu wote
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mazishi ya Rolnad Ngoyai Lowassa imefanyika leo saa nane mchana Monduli na Amezaliwa 1961 na ameacha mke na watoto wawili. Marehemu amekufa kwa ugonjwa wa ini. Rest In Peace Rolnad Ngoyai.
   
 7. a

  amenyamana Member

  #7
  Dec 25, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole lowasa pamoja na mke wa marehemu wakiwamo watoto. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi
   
Loading...