Mahusiano na Ushabiki wa michezo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahusiano na Ushabiki wa michezo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Akili Unazo!, Aug 19, 2009.

 1. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,799
  Likes Received: 2,477
  Trophy Points: 280
  Je ni kweli na haki kuleta ugomvi ndani ya ndoa pindi mwenzi wako anapokuaaga na kukwambia kuwa leo kuna match ya mpira hivyo nitaenda kuangalia hata kama nyumbani kuna DSTV na kila kitu kipo connected completely?

  Au inakuwa hulka tu ya ugomvi?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  CHAKU.

  Napenda niweke sawa hapo kuwa huyo mwenza unayemzungumzia , awe ni wa jinsia ya kiume,na si vinginevyo.

  Lakini kwa mwanamke hilo jambo ni kama halipo, ni utovu wa nidhamu na itaonyesha jinsi ambavyo huyu mke hakuchezwa, na asipokuwa makini anarudi kunako kwao!!

  Mwanamke huwezi kuniacha ndani nimekaa, ukaanza kunibania pua ukiniaga kwamba unaenda mtaa wa pili kuangalia mpira...ni mpira gani huo?

  Usawa kati yetu upo, lakini kwa anga hizo hautakiwi, na mimi ni mpinzani mkubwa wa dhana za hivi.

  Kwa mwanaume ni sawa kabisa, wala haina maswali yoyote, muda wowote anaojisikia anaweza kutoka, sometimes hata bila notice! ...ha..haa..haaa!!

  Msianze kunishambulia, ndo nature ilivyoumba bana!
   
 3. L

  Ledwin JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2009
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 227
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huu ni uonevu na ubwanyenye,nenda namkeo huko hata siku moja,wengine ndio wanapata kisingizio kwenda nyumbandogo UONGO????nina experience hiyo.
   
 4. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nafikir kama una kila kitu kwako basi chukuaneni mkaone mpira wote ili kuondoa utata. Na mwanamke make sure kama huna hoby ya kuangalia mpira uwe nayo ghafla ili kufanya matching.

  Mpira wa nyumbani haufurahishi hata siku moja ni mwanamke hilo natetea. mimi ni liverpool damu na mwenza wangu ni Arsenal. Akienda kuangalia sometimes namwambia twende wote ila kama nina kazi zangu anaenda namsubiri arudi.

  Imani ni kitu kizuri katika kujenga familia siyo siku zote kuandamana kama sisimizi.
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Aug 19, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  sometimes wanawake tunatakiwa kuwa understanding kidogo! Kwa nini ujitafutie ugomvi wa bure bila kununua? kuna vitu vya kumkataza mume au kumtaka muwe at par lakini pia kuna ambavyo wanaume kama mwanaume mwache avifanye. Suala la mume kutoka na kwenda kuangalia mpira mtaa wa pili mimi hata halinipi hofu kwanza ndo vizuri (kwa mie nisiye na hobby ya mpira)ntapata muda wa kuangalia comedy zangu. Na hata ningekuwa ni mpenzi wa mpira ningekuwa nafurahia tu maana nitaepuka ile simulizi ambazo kwa kujifanya mpira wanaujua wanaume angeweza kunidisturb wakati natizama so ni bora.

  Pili kwa suala zima la yeye kutoka au kutotoka kwangu halina uzito mradi hanizuii kufanya yale niyapendayo.

  Nakuunga kidole pakajimmy
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...wangu akiniletea hizo za kuleta naye itakuwa marufuku kwenda saluni!
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Aug 19, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Unaona sasa yale yaleee ye akimwaga mboga we mwaga ugali - haina faida kwenye ndoa.
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...utakuta mamsapu ana hair dryer, sijui rollers, makopo kopo kuanzia dressing table mpaka bafuni (nafasi hakuna), Vioo kila pembe, Maji na umeme upo masaa 24, safari ya saluni ya nini eti kukosha nywele tu?...

  Kila mtu na starehe zake bana.
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Aug 19, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ...... Kabisa na ndivyo ninavyoamini mimi. Kwa sababu utakuta sababu tunazozitoa kw akuwakatalia kuangalizia mpira ni kuwa mnaweza mkawa mnacheat huko kumbe hatujui kuwa kama mtu ni wa kucheat atacheat tu hata umfungie ndani. So ni vizuri kupeana uhuru kwa kuwa ni njia mojawapo ya kudumisha mahusiano kwa kuwa mnaonyeshana kuwa mmekomaa kwa kutrust each other
   
 10. L

  Ledwin JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2009
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 227
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nakubaliana na wewe mj.ila minaandika kutokana na experience,kuna discolosed friends walikuwa wanaaga wanakwenda huko kwenye mipira ila wanaishia nyumba ndogo wanaangalia mpira na MENGINEYOOOOO....so silaumu hawo mawifi wanaokasirika inawezekana wanaexperince hiyo,mi nisingeweza kudoubt kama nisingeona na macho yangu....
   
 11. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #11
  Aug 20, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Ni kweli kabisa LEDWIN wapo wanaotumia vibaya uhuru wanaopewa na kufanya wasiaminike tena but kama ujuavyo binadamu akitaka kitu chake atatafuta mbinu yoyote atakipata so kwa kuwazuia au kukasirika wakitoka ni kujipunguzia siku za kuishi kwa kujipa presha bure. Mimi nimejifunza kutokana na maisha ya rafiki yangu ambaye sasa hivi she is living happily yaani akitoka kwake ni sawa akiwepo poa tu. Kwa sababu zamani she used to be that way yaani ilikuwa mume akitoka nae yuko benet, my best hakuwa akijua mpira by that time akajitahidi hadi akawa mjuzi tena kumpita mumewe. Yaani she used to kaba kila kona hadi kivuli but bado haikusaidia coz mume alicheat tena na mke wa rafiki yake ambaye walikuwa wanakwenda kuangalia mpira huko kwake. Best alichoka akaamua basi huwezimchunga binadamu. Sasa ameamua kuacha and she is enjoying her life!
   
Loading...