Mhafidhina
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 549
- 22
Hivi jamani ni kawaida mwanamke kudeka deka au ni baadhi ya wengine kujifanyisha tu. Yaani kitu kidogo tu mara atalalamika hivi ...! mara siwezi...! mara nimechoka...! mara hio tuache tu...! mara sitaki...! na mengine chungu nzima...! Je ni kawaida kwa Mwanamke kudeka au sometimes ni kujifanyisha tu...!