Mwanamke Mume mmoja,Mwanaume Wake wengi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke Mume mmoja,Mwanaume Wake wengi!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mmaroroi, Jul 31, 2009.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Naomba nielimishwe?Aina zote za ndoa(Kikristo,Kiislamu,kijadi na kiserikali)zinaruhu ndoa kwa Mwanaume Mke mmoja au wengi na Mwanamke Mume mmoja.Kama mwanaume anaruhusiwa kuoa Wake wengi kwanini Mwanamke asiwe na Waume wengi?Je kuna usawa hapo?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jul 31, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hakuna ubaya kama mwanamke naye akiwa na wanaume wengi. Ni makubaliano ya watu tu.
   
 3. Mairo

  Mairo Member

  #3
  Jul 31, 2009
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii mwanzo wake ni tangu enzi za uumbaji, Mwanamke alitokea ubavuni mwa mwanaume kwa iyo inawezakana zaidi ya mwanamke mmoja walitolewa ubavuni mwa mwanaume lakini mwanamke mmoja hakuweza kutolewa toka ubavu wa zaidi ya mwanaume mmoja. this is reflection! think critically you will see the logic!
   
 4. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Huu ni uongo mtupu, Eva alitolewa peke yake katika ubavu wa Adam. Ni sawa kabisa inabidi kama mwanaume anaweza kuwa na wake wengi basi naye mwanamke aweze naye kuwa na wanaume wengi...tatizo ni pale hii imepitishwa kihalali especially kwa wenzetu waislamu. Cha kushangaza wanawake wao balaa kweli kweli ambayo imepelekea sasa kuambukiza na wanawake wa kiktristo. Hamna cha kuhalalisha wala nini, ndo wanazidi kuzaa nje ya ndoa zao na kuwa na viserengeti boyz. Mimi naona ni bora tuu wangehalalisha watu muone kama mwanamke anashindwa kuwa na njemba hata tano kwa mpigo. Kama ukiangalia kwa undani kwa sasa, ni wanaume wachache wanaoweza kupiga zaidi ya one goal kwenye mechi ya 6 by 6...nani anabisha! so one woman anao uwezo wa kuhimili from 3 to 4 goals a day au hata zaidi. Naona hili kwa kweli liangaliwe kwa undani na wao wapewe nafasi sawa na wanaume.
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Jul 31, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mimi nabisha! Kama wewe unabisha kwa nini tuandikie mate wakati wino upo?

  Hii nayo si kweli. Wanawake huwa wanakauka sana huko chini na kuanza kuchubuka hasa ukienda marathon hata ya raundi ya kwanza. Huwa wanachubuka hadi wanaumia wanapoenda kukojoa. Sasa kama demu unakauka baada ya dakika 15 tu raundi tatu utaziweza kweli? Si itakuwa mateso badala ya raha mustarehe....
   
 6. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Sababu ambazo zinafanya jamii isiruhusu wanawake kuwa na ndoa za mitara ni nyingi, baadhi yake zikiwa:
  a. Wanaume waliowekwa kwenye himaya ya mwanamke huyo mmoja wanaweza kuumizana kwa wivu. Watapigana na kuuana kwa sababu tabia ya mwanaume ni kumiliki kitu (to own, monopolise). Hii ni tofauti na tabia ya wanawake ya self-surrender kwa mwanaume, ya kutaka kumilikiwa.
  b. Sababu za kiafya: mwanamke kuolewa na wanaume wengi kiafya ni mbaya na hatari. Pia watoto wakizaliwa inakuwa vigumu kujua ni watoto wa yupi kati ya wanaume wa mwanamke mmoja. Labda kwa kuwa siku hizi kuna vipimo vya DNA!
  c. Mila na desturi: mwanaume katika tamaduni nyingi ndiye mwenye "kumiliki"/kuoa, kuleta nyumbani/kuingiza mtoto. Kumbe haiwezekani mwanamke ndiye amiliki, aoe. Ndiyo maana hata lugha yenyewe inasema: mwanaume anaoa, na mwanamke anaolewa, na si kinyume chake.
  Kumbe mitara ni ya wanaume tu hata kama kwa kufanya hivyo wanawake inakuwa ngumu kuwaridhisha kwa wakati mmoja. Hivyo, mwanamke anatoroka na kutembea na wanaume wengine kwa siri.
   
 7. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  hujakutana na vifaa......unaongelea single goal? kwa kawaida ni 2 in 1 then yanaanza magoli ya skills kama ya zidane
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Jul 31, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  hehehehehe...ana bahati mbaya sana huyo....ndio maana nimemwambia asiandikie mate wakati wino upo...
   
 9. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kati ya 100 pengine wa 5 ndo wanaoweza hizo mbio za marathon. Nilishakutanaga naye enzi za usichana mmoja kati ya karibu 30 na ushee hivi.
   
 10. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mpo ndugu ila wachache sana, nyie ni wale mliozaliwanga zizini sio wale wa sasa hivi Mwananyamala hospital.
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  tatizo lenu watoto wa mujini mnatafuta ile mijizee yenye vitambi kisa inawapa magari mekundu.......inafunga goli kizeeembe sometimes hata golikipa hayupo inapaisha juu......
  lol umetumika sana isee.....experienced
   
 12. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hasty generalization and statistics which have not been proven. Unless useme ni wanaume unaopata wewe tu.
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Mwanamke Mume mmoja,Mwanaume Wake wengi!
  this is nature bana!there is no way u can avoid this!just go back to the bible
   
 14. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #14
  Aug 2, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ok hatujakataa ni nature, lakini huoni sasa na wao wanaingia kwenye hiyo nature kisirisiri (kuzaa nje ya ndoa) ambayo ndo inatawala sana kwa sasa!
   
 15. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #15
  Aug 2, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...baambie hao,....

   
 16. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sasa ili haki itendeke na kuacha sababu za hapa na pale,Wanawake nao waruhusiwe kuwa na waume wengi?
   
 17. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Siyo kweli. 'Kutoka ubavuni' ina maana kuwa 'they share the same humanity' - yaani kila mmoja ajione kuwa mwanzake ni sawa na yeye.
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Aug 3, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mimi natafuna balaaa hata round 6 mwendo mpela mpela njoo ujaribu uone muziki wake.
   
 19. Q

  Queen Sorais Member

  #19
  Aug 18, 2009
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuoa wake wengi kulikuwa nafaida zake na ingekuwa ngumu mwanamke kuolewana zaidi ya mume mmoja kwa sababu zilezile zilizofanya mwanaume awe na wake wengi.
  1. mwanaume aliweza kukidhi haja zake muda wote pale mke mmojawapo alipokuwa mjamzito au ananyonyesha.Kwa kuwazungukia wote iliwawezesha wake kutimiza majuku ya kibaiolojia na kifamilia bila tatizo.
  2. Miaka hii ni vigumu wanaume kuwa na wake wengi - sababu za kiuchumi na ki imani kwa wengine zinafanya hili lisiwezekane.Wanawake nao hawazai watoto wengi kama miaka ya zamani.Anazaa watoto wawili au watatu na muda wake wa kuweza kuzaa bado upo miaka ya menopause haifiki hadi akiwa kwenye 52-55.Hapohapo mumewe hana uwezo wala muda kumhudumia mahitaji yake na matokeo ni baadhi ya wanawake nao kuwa na wapenzi wa nje! HUU NI UKWELI.
  USHAURI WA BURE: EWE MWANAUME MWENYE MKE MMOJA KAZA BUTI VINGINEVYO UTASAIDIWA.WAKATI UKIMALIZIA NGUVU NYUMBA NDOGO UJUE HOME KUNAWAKA MOYO.
   
 20. Lisa

  Lisa JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 1,568
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Kwa hapo nakukatalia kabisa kwa sababu tabia ya mtu ni mtu mwenyewe . Hao wanawake wa kiislamu wamewaambukiza vipi wanawake wa kikristo? Tafadahali usitukane dini tukana mtu mwenyewe.
   
Loading...