secret delight | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

secret delight

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Raia Fulani, Aug 20, 2009.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wada mnajua kwamba huu mtindo wa kuchat kwa sms siku hizi hasa kwa vijana kuna raha flani hawa vijana wanapata? mara nyingi zimekuwa sms za mapenzi ambapo mawasiliano yale yanakuwa intimate to the xtreme ilhali wanaochat hawafahamiani kabisaa! watu wanazama katika mahaba pepe na kutopea huko sawa tu na yale mahaba ya kawaida. waulizeni wanaochat watawapa majibu
   
Loading...