Kuchiti kwenye mahusiano ni hulka,tabia au misifa?

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Kuchiti kwenye mahusiano ni hulka ya mtu mwenyewe au anamkomoa aliye naye au nikutafuta sifa kuwa anayaweza au basi ni tabia ya mtu mwenyewe?
 
Hakuna jibu hapo juu.
Jibu sahihi... to experience the difference that you can appreciate the one.
 
Ni tabia tena isiyotibika hata ufanyeje hawezi acha kufanya hivyo kama ni muongo. Kama umeshadanganywa zaidi ya mara mbili basi mpige chini anza life afresh
 
Inafuatana unacheat nini. Kuna wakati na hali ambazo - kwa kuangalia reaction za tunaohusiana nao -zinaonesha wazi kuwa ukisema ukweli mausiano yanaisha hapohapo. Katika khali kama hio, kwa mtu alie timamu utafanyaje!!

Lakini mwisho wa siku tunakubaliana kuwa hakuna aliye mkamilifu chini ya jua. Tunatofautiana tu maeneo ya mapungufu!!
 
Hakuna aliyemkamilifu, ila uongo ni mbaya sana kwenye mapenzi. pale unapokuwa huna maamuzi ya kujenga zaidi ya kubomoa. tuwe na maamuzi yatokayo rohoni siyo usoni.
 
Sometimes kwetu sisi wanaume tunakwazwa na wanawake. Akishaolewa basi hana shida tena. Yote alokuwa anakufanyia faragha yanawekwa pending
 
Sometimes kwetu sisi wanaume tunakwazwa na wanawake. Akishaolewa basi hana shida tena. Yote alokuwa anakufanyia faragha yanawekwa pending


Hii inategemea na mwanaume maana saa zingine unaweza ukajitahidi kufanya zaidi ya vile ambavyo ulikuwa unafanya kabla hamjaoana akakwamabia mbona leo umefanya tofauti, umeanza mambo yako, ukiuliza mambo gani? unaambiwa umalaya, hii inakufanya mtu automatically kuwa down wakati wa mpambano au mzee anatoka huko atokako hakuna mkamatano wala nini anagusa tu na kukuamabia geuka na sisi wakawake jamani hasikuambie mtu hata kama ni mjanja namna gani mwanaume akitaka kukufanya huwe down hatuna ujanja
 
Kwa wanawake wengine mwanaume asipochiti anaonekana dwanzi, mdebwedo, hana mvuto. Kuna wanawake wanapenda wanaume wanaochiti, ati ni wazuri ndio maana wanapendwa na wanawake kibao!
 
Back
Top Bottom