Ukigundua mumeo nae ana "mume" utafanyaje?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukigundua mumeo nae ana "mume" utafanyaje?!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Annina, Nov 26, 2009.

 1. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Dunia hii ina mambo mengi ya kustaajabisha, moja wapo ni hili la jidume kuoa huku na lenyewe limeolewa! yaani kuna mwanaume mwenzie anamkula na kumhudumia kama yeye anavyofanya kwa mke wake. Nasikia case hizi zipo nyingi, sasa najiuliza huyu mdada akigundua mumewe ni chakla ya jibaba fulani atafanyaje?
   
 2. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Atafute hili jibaba limege pia.
   
 3. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kupumuliwa tena loh!
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  Tafute na yeye wakina ""mac d"""
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Hapo huna cha kufanya zaidi ya kwenda bagamoyo
  ukaoshwe,,,,maana huo ni mkosi.
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280

  kabisa lakini sio kwetu pemba
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  pemba ndo mkoje?
   
 8. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nimecheka mpaka basi, yaani kweli ni mikosi kama ni kuoshwa iwe kwa maziwa sio maji vinginevyo Kakobe achukue nafasi yake apige maombi ya nguvu...
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  jambo kama hilo ni mkosi kabisa..
  Ni sawa pia na kugundua mkeo anatembea na baba yake.
  Ni mkosi mtupu...
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  hivi kuna kitu kama hiki mkuu au ni hadithi tu???
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  swafina
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  Kila mwenye kulamba sharti alambwe kaka hiyo principle tangu uongozi wa karume ati...
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  sidhani mkuu hii itakuwa mkewe anatembea na mkwewe
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280

  mimi mwenyewe sitaki kuamini,but
  watu wengi wanasema hayo mambo yapo..
   
 15. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #15
  Nov 27, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hakuna kitu kama hichi, kama kipo labda ni kwa asilimia ndogo sana. Uwezekano mkubwa ni kukutamke wako wewe anatembea (analiwa) na baba yako mzazi!
   
 16. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #16
  Nov 27, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ukigundua hivyo inabidi nawe uwe msagiji au usagwe ili iwe ngoma draw. Pia unaweza kumshtaki huyo anaye mkula mme wako kwa wazee wa ukoo teh teh..
   
 17. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #17
  Nov 27, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hapo inatakikana kuwepo na threesome.

  (Raha tupu):)
   
 18. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #18
  Nov 27, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  piga chini tu!
   
 19. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #19
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hakuna maelezo hapo, ni kumwaga tu. ataonyeshaje uanaume wake kwangu na wakati na yeye ni jike la mtu lol, i dont even wanna think abt this, it sucks!
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Nov 27, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahahaha inachekesha na kusikitisha maamuzi yangu nitayachukua pale tu nitakapogundua lakini kwa sasa sina la kuongea duh kasheshe
   
Loading...