Faida za sex kwa mwanamke.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faida za sex kwa mwanamke....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Boss, Nov 24, 2009.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa nini wanawake wengi wa kitanzania
  wanafikiri sex ni kwa ajili ya kumfurahisha
  mwanaume,kama vile haina faida yeyote kwao???

  Mara nyingine utasikia mwanamke anamnyima sex
  mpenzi wake kama njia yakumkomoa why???

  Kuna faida nyingi kwa mwanamke anapofanya sex
  mara kwa mara hizi ni baadhi tu

  1.ngozi inakuwa nzuri na laini.
  2.nywele zinakuwa nzuri na zina shine.
  3.unapata usingizi mzuri..
  4.unapata hamu ya kula vizuri..
  5.unaondoa stress kichwani.
  6.unaongeza confidence ...na self esteem
  7.unapata amani ya moyo...
  8.unapunguza kasi ya kuzeeka...
  9.unapunguza kisirani kwa ujumla..
  10.........etc, etc.
   
 2. B

  Bata Senior Member

  #2
  Nov 24, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  We boss,huna sera,this is the home of great thinkers.

  wewe kila kukicha ngono ngono ngono,nimekusoma sana wewe.

  acha kuwaza ngono sana,unaonesha upuuzi wako hapa.

  hatuna muda wa ngono sisi.
   
 3. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2009
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Hapo unaposema unapunguza kasi ya kuzeeka sikubaliani nawe, hapo hakuna ukweli wowote kama kungekuwa na ukweli dada na kaka zetu wanajiuza wasingekuwa wanazeeka haraka kwa sababu virutubisho wanavyovipata kwa siku ni balaa halafu vinatoka kwa watu tofautitofauti.
   
 4. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu nadhani unakosea kumshaki mwenzio..! Hapa anayo haki ya kuzungumzia mapenzi kwani ni thread ya MAHUSIANO,MAPENZI, NA URAFIKI. Au mkuu hayo maneno kwako yana maana tofauti ?
   
 5. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Aaaaaah Bata!

  Hili ni jukwaa la mahusiano, mapenzi, urafiki ndio mahali pake. Kama hulitaki si utembelee majukwaa mengine ka ya Siasa n.k.
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  who are u??????
  umetazama thread zangu zote ukaona ngono???
  wewe ni member hapa since when??????
  usitafute umaarufu kwa nguvu....
  u dont know me.
  nakushauri go get a life,
  hasa sex life which seems to be missing in your life
  since u believe sex is upuuzi.
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  huyu bata kazi yake kuliwa kwa pilipili,
  hana thread hata moja ya maana humu...
  kazi kuropoka tu.na kuchafua hewa humu.
   
 8. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mkuu siku izi wajua Hata Bongo mashoga weshakuwa wengi na wanambinu tofauti kutafuta mabwana..!! Ukiona mtu anafuatilia thread zako kwa sana basi analake jambo! Watu wa jinsi hiyo ni kuwaepuka tu kama ukoma..!
   
 9. B

  Bata Senior Member

  #9
  Nov 24, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wewe hii ya mapenzi tena haina kichwa wala miguu umeona nii ya maana,

  be educated,or u better go back to school.

  U SEEMS LIKE not matured enough.

  ngono kitu gani wewe bosi.....acha ushamba wa mapenzi,utamu utamu kwani kila mtu ana utamu na faida zake ktk ngono.ila wewe umezidi sana huwezi kuandika thread kama hii ya kipuuzi hapa jamvini.

  tena ukome kabisa,siitaji umaarufu ila angalia unachoandika.
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kabisa mkuu..
  Jina lenyewe bata...
   
 11. B

  Bata Senior Member

  #11
  Nov 24, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  wewe ulimi UMEACHAA USHOGA maana kuna mshikaji anakuuliziaga kweli yani.wewe na bosi hamna sera.
   
 12. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mi nadhani hakuna sababu ya kufanya sex kama duty, sex ni sanaa na pamoja na faida zilizoainishwa hapo juu inatakiwa kukuburudisha . Ukiwa na umpendae kwa dhati na mkaijua sanaa hii vizuri basi suala la kulazimishana/kukomoana kwenye sex halina nafasi kwani wote mtakuwa mkifurahia na itawaletea hamu ya sex
   
 13. K

  Keil JF-Expert Member

  #13
  Nov 24, 2009
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wanafikiria hivyo kwa kuwa baadhi yetu sisi akina baba/wanaume huwa tunashindwa kuwafanya wa-enjoy sex. Kilele cha kufurahia tendo hilo kwa mwanamke ni pale anapopata orgasm. Sasa kama hajui hata orgasm ni nini unategemea afurahie?

  Ili mwanamke apate orgasm lazima kuwe na maandalizi ya kutosha, na siyo kurashia ili mradi (wanaume wengi hapa tume-fail). Kutokana na kushindwa kuwaandaa tunaishia ku-enjoy sisi na wao wanaishia njiani ama ndo kwanza anaanza kupanda wewe ushamaliza, unategemea afurahie? Kwanini asiseme kwamba ngono wana-enjoy zaidi wanaume?

  Ukiona mkeo/gf wako anafanya hivyo, ni kwamba umeshindwa kumpa raha anayoitaka. Lakini kama ana enjoy hilo tendo, hawezi kutoa adhabu hiyo kwa kuwa na yeye atakuwa anajiadhibu kwa kujinyima raha.

  Kama anapata orgasm na akatoa adhabu hiyo maana yake ni kwamba kutakuwa na makosa mengine ambayo utakuwa umefanya. Unajua akina mama wako sensitive sana, kitu kidogo tu kinaweza ondoa hamu yote ya tendo hata kama huwa unampatia big O ambayo si ya kawaida. Mojawapo ya makosa mabaya ni pamoja na ku-cheat, hii ni sumu mbaya sana ya sex kwa mwanamke.
   
 14. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #14
  Nov 25, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Mkubwa uliombwa uchangie??Kama unaona mada haikufai wewe angalia tu sehemu zingine sio lazima kumponda mtu au kuchangia kama vipi wewe weka kitu unachoona cha muhimu....Nawakilisha!!
   
 15. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #15
  Nov 25, 2009
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu Boss
  soma namba 9 ya badiko lako, unajua majibu kama haya yanajigonga na namba 9?
   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Nov 25, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,814
  Likes Received: 83,213
  Trophy Points: 280
  Je, kumnyima huku ni kwa kosa lipi na kunaweza kuwa kwa muda gani? Kwa maoni yangu uamuzi wa kumnyima shughuli mume unaweza kabisa kuiweka ndoa juu ya mawe na hata kuivunja kabisa hasa kama itakuwa ni kwa muda mrefu.
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  Nov 25, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,578
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  hivi kama unaona hapa hapakufai kwa nini unaingia jamani majukwaa yamejaa JF ...nini maana ya mapenzi ,mahusiano na urafiki ..kumbe wewe ulitaka aongelee upandaji wa maua ,siasa na uchumi au nini katika jukwaa hili
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Nov 25, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,578
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Lakini mie sielewi ni kwa nini umnyime ? inawezekana ni mroho sana !!
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Nov 25, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,062
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280
  He!
   
 20. s

  sinani Member

  #20
  Nov 25, 2009
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  waswahili bana,ivi we bata ni lazima kusoma thread za mapenzi?kama kwako suala hili sio muhimu basi soma thread nyingine mbona zipo nyingi tu haya ya huku tuachie wenyewe.....mimi nafikiri si bure huyu jamaa kuna kitu anataka toka kwa mtoa mada wetu labda aulizwe hii ni dunia ya ukweli na uwazi......nawasilisha
   
Loading...