Hamu ya Ngono wengine inawatia wazimu? Unyama gani huu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hamu ya Ngono wengine inawatia wazimu? Unyama gani huu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Annina, Nov 28, 2009.

 1. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jamani kuna kaka mmoja amekutwa na mtihani mkubwa katika maisha yake baada ya kuugua ugonjwa wa kupooza uliomfanya asiweze hata kuzungumza. Akiwa katika hali hiyo, kwa kuwa hakuwa na mke na tatizo lilikuwa la muda mrefu ilibidi wanafamilia wajipange katika kumhudumia.

  Mdogo wa kiume wa mgonjwa akaitwa kutoka kijijini na kupewa jukumu la kumhudumia kaka yake nae akalipokea kwa mikono miwili. Mgonjwa akarudishwa nyumbani kwake akawa anaendelea kupata matibabu na wanafamilia wanakuja kumjulia hali.

  Baada ya muda dada mkubwa wa yule mgonjwa ambae alikuwa mara nyingi anashinda pale lakini jioni anarudi kulala kwake, akagundua yule mgonjwa kila anapomuona yule mdogo wake wa kiume anakuwa kama anashtuka na kuonyesha hali ya kumuogopa, yule dada akamuuliza mbona mgonjwa anakuogopa, akasema huwa hapendi kuoga na kwakuwa mimi huwa namuogesha ndio sababu ananiogopa!

  Kama ilivyo kawaida ya wanawake, ni wafuatiliaji wazuri wa mambo (hata madogo kiasi gani!) yule dada hakuridhika, akafuatilia, mlinzi akamwambia mgonjwa huwa anatoa sauti za ajabu kila siku usiku, kama vile ana maumivu makali.

  Yule dada akalifikisha kwa wanafamilia wengine, wakalijadili, wakashangaa kama mgonjwa huwa anazidiwa au kupatwa na maumivu makali kila siku usiku, kwanini anaemtunza mgonjwa asiwaambie. Wakaamua kufuatilia, siku hiyo wakaa kwa mgonjwa mpaka saa 2 usiku then wakaaga, wakaenda kukaa baa ya jirani wakapanga na mlinzi akisikia hizo sauti awaambie.

  Wakaambiwa, walipokuja wakamkuta yule kaka anambaka mgonjwa! wakina dada wakaangusha kilio kikubwa kama kuna msiba, majirani wakakimbilia wakifikiri yule mgonjwa amefariki. Watu wakajaa, police wakaitwa wakamchukua mtuhumiwa.

  Najiuliza huyu kijana alikuwa na wazimu? katika hali ya mateso aliyokuwa nayo kaka yake yeye akaona amuongezee kwa kumbaka? alidhani kupooza kumemfanya asitambue anachofanyiwa? mama wa watoto hawa atakuwa katika hali gani? yule mgonjwa akipona patakalika?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Nianze kwa ku'nullify kwamba hii SI HAMU YA NGONO!

  Lakini, Haya mambo ni ya ukweli?..

  Yametokea wapi?..

  jE inawezekana dogo kumbaka kakaake?

  Au ndo kuchangamsha wikiendi...lakini mbona kwa mimi story hii imehiharibia wikiendi yangu!

  Enewei...hakuna mbaya!
   
 3. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pole kwa kukuharibia wikiendi, mimi nilipata homa!. Inawezekana si hamu ya ngono, ni nini basi? wazimu? ni kweli yametokea hapo dar, ni vile tu sina mamlaka ya kusema ni nani ilimtokea, ni dar!
   
 4. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pole kwa kukuharibia wikiendi, mimi nilipata homa!. Inawezekana si hamu ya ngono, ni nini basi? wazimu? ni kweli yametokea hapo dar, ni vile tu sina mamlaka ya kusema ni nani ilimtokea, ni dar!
   
 5. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  tena kaka yake baba mmoja mama mmoja!
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Dogo kaambiwa ni dili la mahela nini akifanya hivyo?..Icant imagine this!
   
 7. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Haielezeki! akili ya kawaida inakataa, njia rahisi ya kuelezea ni mapepo!
   
 8. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Bado sana kuamini hii kitu kama ni kweli huo ujasiri huyo dogo aliutoa wapi? Au ni nguvu za giza nini maana kuna vitoto vinakabidhiwa uchawi tangu vikiwa vichanga.
   
 9. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  This is a tall story! Completely outlandish..
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,644
  Likes Received: 82,373
  Trophy Points: 280
  Please share with us the source of this story.
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  I dont believe this story!!
   
 12. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2009
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  This is incredible!
   
 13. s

  siyajui Member

  #13
  Nov 29, 2009
  Joined: Sep 4, 2009
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  unbelievable!huh!
   
 14. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #14
  Nov 29, 2009
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  kama hii stori ni kweli then huyo jamaa sio kuwa ana hamu ya ngono bali ana tatizo la akili, so inabidi familia impeleke hosp akachunguzwe kidogo, kuna uwezekano wanafamilia wamempa jukumu mgonjwa amtunze mgonjwa mwingine.
   
 15. Mlango wa gunia

  Mlango wa gunia Senior Member

  #15
  Nov 29, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  huyu kijana dawa yake na yeye alambwe mkia tu,
   
 16. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #16
  Nov 29, 2009
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Stori inatia shaka, lakini nikiangalia ukweli kuwa kuna mababa wanabaka mabinti zao na hadi kuzaa nao hii nayo inaweza kuwa imetokea kweli!
   
 17. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2009
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  I dont what to believe kama ni kweli au la lakini haya mambo nayo yanawezekana manake duniani kuna kuna vituko!!! Kama kweli duh huyo jamaa nampigia picha kwa sasa anatamani ardhi ipasukie mbali ajipotelee zake
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Nov 30, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ukisataajabu ya musa utaona ya filauni mmmh
   
 19. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #19
  Nov 30, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Me TOO.
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Nov 30, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kuamini hii stori ni ngumu kwa watu ambao mambo hayo hatujawahi kuyashuhudia zaidi tunayasikia, habari ingekuwa bomba zaidi kama tungepewa source yake.
   
Loading...