Mapenzi bila tendo la ndoa inakuwaje?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi bila tendo la ndoa inakuwaje??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Nov 26, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  Wajameni nina kaka yangu ana mchumba wake wana miaka mitatu sasa kila binti akiambiwa tuoane anadai mapema sana...baya ama zuri kakangu anasema kila siku amekuwa akililia tunda bila mafanikio mpaka akasema akipata mtoto lazima amwite tunda...sasa hivi amekata tamaa kabisa na mapenzi na kufikia kuhisi beer ni faraja ya mafanikio la hasha.....nikasema niulize je yawezekana kukaamiaka yote bila ku do......
  Nawapongeza kwa hili na jua jf wako 100/100

  Kwangu mimi huwa nilikuwa na shangaa kabla ya kufunga ndoa ukiingia n kabinti kanadai mi siwezi ntaumia lakini anaingia mpaka guest ndani,...sasa wewe si mchunaji kweli??

  karibu utoe maoni yako
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hii kali,
  kwanza kabisa nawapongeza kwa kukaa three years bila kufanya naninhii, ila hapohapo ninataka kuuliza.. wapendanao wanafanya mapenzi au wanafanya tendo la ndoa???
   
 3. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hao naona bado ni marafiki na kama ni wapenzi kweli kaka mtu hapo atakuwa anasaidiwa..
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ukiona manyoya, ujue wameshakula!!!:D
   
 5. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2009
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Kwanza kabisa nawapongeza kwa kukaa muda wote huo bila kuzini. Jamani tusiharalishe kuzini kabla ya ndoa kama ni lazima kwa wadhambi na warafi ni ngumu sana lakini kwa wenye misimamo inawezekana. Kwani mapenzi lazima sex? Kuna mambp mengine yanayotoshereza. Au ndo mapenzi na furaha ya maskini?
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu jokes aside, unaweza kukaa three years unasubiri tunda?? nilijaribu wakati bado kavulana kumbe kuna jamaa alikuwa shule mbele yetu alikuwa anapewa to the extreme!!!

  tumebadilika sana kijamii kiasi kwamba nashindwa kuamini watu wanweza kukaa three year bila ku-do

  Lakini nawapongeza kwa kuni-prove wrong!!
   
 7. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hakuna anayehalalisha kuzini hapa ila hali halisi ndo inavyo onesha kwamba watu wanasubiri hadi siku ya ndoa huku kila mmoja akimega au kumegwa nje.Mapenzi si lazima sex ila inategemeana na kama wote wanakubaliana na hilo na kama unadem wako unasubiri hadi siku ujue anasafisha nyota huku we unapiga miayo mingi.
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  Mwanzoni nilihisi govi kama ndie ananyimwa pole na thread nshatoa...ashindwe ku apply
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280

  na ukiona unyao..ujue wamesha kanyaga....
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  No comments
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hahaaa hiyo imetulia mazee, yaani watu weshapiga chapa!! halafu mshkaji anasubiri for year kutanua upya!!:D
   
 12. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mbaya zaidi inakuwa kama ndio unahudumia mtoto kwa kila kitu....halafu ndio unagundua kumbe wakati unalisha ng'ombe majani wenzako wanakamua maziwa!
   
 13. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #13
  Nov 26, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ..........Wapo wanaoweza kuvumilia kipindi cha uchumba kutofanya mapenzi lakini ni wachache sana kwa siku hizi.

  Kuna mdada mmoja hivyo hivyo alipata mchumba mlokole mwenzake, yule dada akamtilia ngumu yule kaka kunanihiii naye hadi ndoa, akasema ni dhambi. Mkaka wa watu akawa anasubiri kweli hadi ndoa, kumbe yule mdada alikuwa na bwana mwingine wa kihindi wanakula uroda kama kawa.

  Baada ya muda yule dada akafunga ndoa na huyu mlokole mwenzake, kumbe yule dada alikuwa tayari kanasa mimba ya muhindi. Wamekaa kama miezi miwili kwenye ndoa dada kitumbo kinajitokeza, mume anashangaa mwenzanke kapata wapi mimba!!!Kwenda kupima mimba ina miezi 5, ikabidi ndoa ife.

  Hivyo huyo kaka awe makini, yeye atakuwa anasubiri kumbe mwenzake sio mwaminifu.
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  ndio maana ya ""icu"" si lazima uwe muhimbili
   
 15. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #15
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni wazi hawapo ukurasa mmoja, huyu binti ana agenda yake maana kama issue ni maadili kwanini anakataa proposal ya ndoa? anaona ni mapema sana kwa vigezo vipi? kwanini alijiingiza kwenye mahusiano ya mapenzi kama kwake bado mapema sana kutekeleza majukumu yake ikiwemo kufunga ndoa?

  kwa hiyo bro anaambiwa "hata ukioga mjini huendi?"
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  ukisikia kesi zingine za kubakwa haziitaji hakimu ndio kama hizi miaka mitatu hakuna "Tunda"" weeeee wallahi lazima tumegeane hata kwa DPP
   
 17. A

  AM_07 Member

  #17
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 74
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  well, ningetamani kujua life style yao, huwa wanakaa kila mtu kivyake au na wazazi? wanakazi? wanatoka out kidogo siku moja moja moja?, kama jibu ya hayo maswali ni ndio, then there is no true live, simaanish true love ni mapenzi ila kwa mtu ambae mna uhusiano wa miaka mitati, mko free na mna kipato, what else?? huyo bro aangalie, lazima atakuwa na marafiki wema wanaomsaidia kazi!!!! , na huyo dada anajiamini sana maana mahusiano ya sasa yanavyovunjika ovyo akama outbreak ya swine fluu.
   
 18. kalikumtima

  kalikumtima Member

  #18
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo kali. Jamaa anaingizwa mjini. Mie kidogo initokee. Kuna mdada alitaka kufanya hivyo kabania muda nikawa na mchecki tu. Maana nilihisi anamegwa!!. alivyokujakutoa nikastudy behaviour yake na marafiki zake nikaona sik kweli kuwa ktk kipindi hicho alikuwa hamegwi. nikamtosa. Baadaye akaolewa ndani ya muda mfupi baada ya kumtosa!!!.
   
 19. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #19
  Nov 27, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Siku hizi watu wanafunga ndoa baada ya kubeep na kuona kama simu inaita au laa.. wengi huwa wanakuwa tiyari wana mimba!
   
 20. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #20
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  watu mna misemo humu! lol mkaongeze hizi methali kule .
   
Loading...