Tabia za mke/mume mwema ni zipi wajameni?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tabia za mke/mume mwema ni zipi wajameni??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Nov 27, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,170
  Likes Received: 3,101
  Trophy Points: 280
  Wajameni kumekuwa na imani nzuri inayofanya kazi mumemwema hutoka kwa bwana yesu sasa kama mwanandoa tunaomba utushauri hapa nini ama sheria gani zitakuonyesha huyu mume bora/mke bora...na si msanii kama yanayowatokea wengine soon after merriage
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,170
  Likes Received: 3,101
  Trophy Points: 280
  mliojeruhiwa nanyi ruksa kutoa maoni yenu wapi mlikosea wengine wasikanyage
  maana hii lami ni ya kila mmoja uwe na miguu uwe na gari utaipita tu
   
 3. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  Tabia za mume bora ni:

  *Kumpenda mkewe kwa moyo wake wote na akili yake yote.

  *Kumridhisha mkewe katika...................

  *Kuwa kipaumbele katika kutoa mahitaji ya mkewe na family.( asiwe bahili)

  *Kumfanya mkewe awe na furaha wakati wote (ajue kumbembeleza mkewe)

  *Awe mtu wa kutoa surprise kwa mkewe sio hadi sikukuu.

  *Awe msafi/smart/mtanashati.

  *....................
  *.....................
  *...........................
  Jazieni nyingine
   
 4. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2009
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 3,466
  Likes Received: 900
  Trophy Points: 280
  Du hiyo ya kwanza hapo ni kiboko!.
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  matendo yanaonyesha huyu ni mke/mme bora
  pretty ametaja hapo juu
   
 6. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,842
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mme bora amheshimu mkewe
  Asiwe na tabia za kihuni/nyumba ndogo wala ulevi kupindukia
  Awe msaidizi wa mkewe katika majukumu ya ndani bila kushurutishwa
  Familia yake iwe kipaumbele kwake
  Amshirikishe mkewe katika kila jambo
  .....................na kuendelea
   
 7. GP

  GP JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,076
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mnhhhhhh,
  hapo kwenye bluu ni hatari sana, Mungu peke yake ndio anastali, yani akili yako yote iwe kwake??, Loh utakufa siku si zako
   
 8. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwa m'ke kutambua kuwa yeye ni sehemu ya m'me kwa kuwa katolewa ubavuni pake na m'me kutambua kuwa m'ke ni mfupa katika mifupa yake, watafanyiana mema ambayo yatawafanya wawe kila moja mwema kwa mwenziwe
   
 9. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #9
  Nov 27, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,629
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Kwa wakristo, kubwa zaidi ni kwa mwanamke kumheshimu mumewe na mwanaume kumpenda mkewe. Mengine yote yanaflow kutokea hapa. Matatizo mengi kwenye ndoa kimsingi yanatokana na kukosekana kwa heshima na/au upendo.

  Mwanaume kumpenda mkewe maana yake nini? Na Mwanamke kumheshimu mumewe maana yake nini? Kwa nini Mungu hakumtaka mwanamke ampende mumewe kama sharti mahsusi? Na kwa nini Mungu hakumtaka mwanaume kumheshimu mkewe kama sharti mahsusi?
   
 10. bht

  bht JF-Expert Member

  #10
  Nov 27, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,297
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  nimepigia mstari......maneno hayo yamebeba majibu unayotaka
   
 11. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #11
  Nov 27, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,525
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Kwa sababu yeye ndiye aliyetumba na ndiye anyejua mahitaji ya kila mmoja na hayo yakisha patikana kwa pande zote basi gundi imetimia.
  Alijua mume akishamchagua tu mrembo wake na kukiri mbele za Mungu tayari anampenda, na huyo mrembo akimheshimu huyo mume basi mambo yote ni waaaaaa!
   
 12. K

  Kelelee Senior Member

  #12
  Nov 27, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ......mkarimu kwa ndugu,jamaa na marafiki.
  ......awe understanding yaani si mtu tu wa kukurupukia vitu
  ........amuheshimu mkewe.
  ........mume mwema ni yule anayempiga mkewe kwa upande wa khanga :)
  .......
  .......
   
Loading...