Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.9K
Posts
231.7K
Threads
7.9K
Posts
231.7K

On JF:

It is well established custom and ritual to wish those close to us a happy new year and to celebrate the end of the old year and to make new resolutions for the coming year. All civilizations and...
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Why Women Cry Watch her eyes A little boy asked his mother, "Why are you crying?" "Because I'm a woman," she told him. "I don't understand," he said. His Mom just hugged him and said, "And you...
0 Reactions
111 Replies
8K Views
Habari kaka mimi ni msichana niliyebahatika kuolewa miaka kadhaa iliyopita, nikiwa katika ndoa yangu nilidanganyika nikatoa nje ya ndoa na huko nikakutana na mwanaume aliyejaliwa kuwa na mashine...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Nimesikiliza leo katika kipindi cha pata pata Wapo radio kuna jamaa mbezi juu alikuwa na nyeti ndogo kila akioa wanawake wanamkimbia alipo pata mke wa nne rafiki yake akamshauri atumie dawa za...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
:mad:Kuna faida gani au hasara gani ya kufuga ng`ombe usiyemkamua?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu kuna suala moja jana litutatiza wakati tunapata moja baridi moja moto huku mkuu wa meza akiwa sebuleni huku akisindikizwa na ndizi ya mzuzu iliyorotiwa. Mjadala wenyewe unasema 'Utamsamehe...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Utasikia mtu anasema "mwanamke yule mzuri" lakini unaweza usiuone huo uzuri anaousifia. Hivi uzuri wa mwanamke ni nini? Vigezo vipi mwanamke awe navyo ili wengi wamuone mzuri?
0 Reactions
35 Replies
7K Views
I am Still thinking aloud in my honeymoon!... Baada ya kujadili sana biashara za break-ups in nowadays marriages,i decided to go back to the roots...! Kuna aina mbili za ndoa ambazo ni BASICS...
0 Reactions
194 Replies
14K Views
Je watu wana tilia maanani wanacho kiapa kanisani? Je wanajua wana apia nini? Maana una kuta mtu ana kula kiapo cha ndoa lakini anakuja kufanya opposite. Mtu ana sema kwenye shida na raha lakini...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Hapa ndugu zangu naomba kuuliza kuwa ni nani aliyekufundisha kufanya mapenzi?Maana nimeshasikia watu wanalalamika,ooh mara demu wangu hajui mapenzi,oooh mara flani anajua mavituuz,mara yule...
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Wana jf naomba yeyote anipe ushauri, sijisikii hamu ya kufanya mapenzi, je nifanyeje?
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Don't ever lie to us, we alwayz find out. We don't enjoy talking dirty as much as much as you enjoy listening Don't say you understand when you don't Girls are pretty, but yours is the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
(source unknown; I don't know how genuine the pictures actually are.) A reminder to those who are on facebook not to give too much of your personal details!! The girl in the picture posted...
1 Reactions
40 Replies
15K Views
Vijana wengi ambao wanapendana leo mapenzi yao hayadumu kiasi cha kubatizwa jina la utamu wa bazoka. Lakini yote hii inatokana na ukweli kwamba elimu ya mapenzi ambayo ni muhimu kwa binadamu...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Wakuu wenye utaalamu katika fani ya tiba nisaidieni hapa. Nimeongea na rafiki yangu aliyeko Tz kaniambia kuwa last week kaachana na mkewe baada ya kumfumania akifanya ngono na KAKA yake. Ndiyo...
0 Reactions
34 Replies
50K Views
Hili swali limekuwa likinitatiza sana.. kwanini kuna raha ya aina fulani kufukuza kuku wa kienyeji kabla ya kumfanya kitoweo?
0 Reactions
68 Replies
9K Views
Hi everyone. nimekua nikipitia JF kila siku, kwa kweli nafurahia kuwa kuna ufumbuzi wa matatizo mengi sasa wajameni hebu saidia hii rafiki yangu. NI MWAKA NA MIEZI KADHAA TANGU WAMEFUNGA...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Italian Pregnancy An 18 year-old Italian girl tells her Mom that she has missed her period for 2 months. Very worried, the mother goes to the drugstore and buys a pregnancy...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…