Ni nani aliyekufundisha mapenzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni nani aliyekufundisha mapenzi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mchajikobe, Feb 19, 2010.

 1. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,515
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Hapa ndugu zangu naomba kuuliza kuwa ni nani aliyekufundisha kufanya mapenzi?Maana nimeshasikia watu wanalalamika,ooh mara demu wangu hajui mapenzi,oooh mara flani anajua mavituuz,mara yule gogo,huyu hanifikishi.Sasa napenda kujua ninani anayefundisha au mwalimu bora na yupo wapi?Je wewe aliyekufundisha ni yupi?Chaitajika nini ili uwe mtaalam wa hii kitu?
   
 2. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hiyo kitu unajifunza kwa kufanya! hakuna mwalimu wala nini. Pia unaweza kujifunza kwa kusoma vitabu vya mapenzi, hadithi za mapenzi. Bora ufanye ili ujukosolewe na hapo ndio utajifunza na siku nyingine hutorudia kosa!
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  hili swali karibia na weekend duh ...
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  jibu mama!
   
 5. K

  Kristin Member

  #5
  Feb 19, 2010
  Joined: Aug 26, 2009
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mapenzi ni sanaa, utundu, ubunifu na kujituma. unapokuwa huna hizo sifa hapo ukikutana na aliye nazo basi atakufunza.
   
 6. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,937
  Likes Received: 1,400
  Trophy Points: 280
  ....nilifundishwa na beki 3 wetu enzi hizo hakuna ngoma,ni sterio tu.
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,852
  Likes Received: 22,943
  Trophy Points: 280
  maswali mengine bana.
  how old r u?????

  kwa watu wengine mapenzi sio muhimu
  hivyo.
  muhimu ni kula,kuvaa,afya bora na usalama.
  love can be a fantassy to some people.
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,534
  Likes Received: 1,542
  Trophy Points: 280
  mi nilifundishwa na yaya wa nyumba ya jirani na kwetu kule Msoga kwa bibi yangu mzaa baba
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,934
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  kwa kweli hakuna aliyenifunza lakini nilifanya mazoezi mengi na kujaribu mbinu mbalimbali ambazo zimenifanya niwe gwiji. ila kuna gazeti fulani lilikwepo miaka ya mwanzo ya tisini na moja mpaka na tano siju km liliendelea tena nakumbuka likiitwa km sikosei heko au sikumbuki sana kulikuwa na makala inaitwa darasa la mapenzi. yule jamaa alikuwa anatoa darasa si mchezo, pale nilijifunza michezo mingi sana.
   
 10. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,515
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Duu,ianaelekea alikuwa expert kweli kweli na bila shaka wewe umehitimu hilo somo zima!!
   
 11. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2010
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,478
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Ni utundu wako na kufuatilia vijarida,magazeti yenye makala mbalimbali za mapenzi,filamu n.k. By the way beki 3 wanasemekana kuwatoa watu wengi kwenye haka kamchezo. The same applied to house boyz.
   
 12. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hapo unamaanisha ukikutana na demu akawa mjuzi sana ina maana alishafanya sana au? Na wewe ukikutana na demu ukamwaga maufundi yote unataka akueleweje? Hii sijaipenda, itasababisha watu waogope kuonesha ujuzi.
   
 13. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #13
  Feb 20, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  ...Hii imenifurahisha sana...
   
 14. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,571
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Kamasutra, g-spot , and how to make love .
   
 15. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #15
  Feb 20, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 827
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Swali sio ulianza na nani swali nani alikufundisha na mna y akukamua vizuri.

  Kwangu mimi nilijua kukamua vizuri baada ya kusikia story kwa watu kwamba wana wake wanatakiwa ufanye hivi na vile na pia wanawake ,kila mmoja ana namna yake ili aweze kusikia vizuri,
  Kwa hiyo ikawa na jaribu kila njia kila aina ya utundu pamoja na kucheki movies za ma lesbian wakisagana , ili kuona nimfanyeje mwanamke , pamoja na kuangalia movies za matusi , kuchukua ujuzi, matokeo yake nika pata shahada ya kwanza ya kufanya mapenzi.kiasi mbaka nikastukia nimesha dumbukia kwnye fetish world !
   
 16. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #16
  Feb 20, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,398
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 180
  Khaaa! Fetish world???
   
 17. S

  Sabri-bachani Member

  #17
  Feb 20, 2010
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 96
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
   
 18. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #18
  Feb 20, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mimi nilifundishwa na mpenzi wangu wa kwanza,na magazeti ya Shigongo.
   
 19. R

  RAJABUHIJJA Member

  #19
  Feb 20, 2010
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mapenzi hayana mwalimu.
   
 20. W

  Wasegesege Senior Member

  #20
  Feb 20, 2010
  Joined: Oct 22, 2009
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nilifundishwa kufanya mapenzi mwaka 1983 wakati nikiwa Kijijini kwetu lakini huyo msichana ambaye alikuja kuomba papai nikambia mpaka tufanye ngono, hivyo tukaingia kichaka kimoja nikafanya ngono mara 2.

  ilikuwa jioni, lakini kesho yake nikiwa nakojoa nikawa nasikia uume kuuma, sikuwa najua lolote nikamueleza Mama yangu mzazi kuwa nikikojoa naumia. Akanipeleka Zahanati nilipopima na alipoambiwa majibu, HAKUAMINI kile alichoambiwa, na alinikemea sana, hivyo nikawa najua kumbe kufanya mapenzi ni kupewa magonjwa.

  Hivyo, tangu mwaka 1983 hadi nilipokuwa kuwa naingia Chuo Kikuu mwaka 1994 ndipo nilipoanza tena kufanya mapenzi. MSICHEKE.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...