Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna jamaa yangu alikua na girlfriend wake kipindi 2nasoma alimpenda sana lakin yule dada hakuwa mwaminifu akawa anatoka na jamaa mwingine mi nakajua ikabidi nimpe habari jamaa yangu baada ya...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari za mapumziko wakuu! kuna binti nampenda sana lakini anasema kwa sasa haitaji mwanaume yeyote kwani ndo kwanza hata maumivu ya moyo wake hayajapona kwahiyo namkumbusha machungu2 na hawaamini...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wana MMU! Kuna binti rafiki yangu nimeonana nae jana anasema ana mimba ya miezi mitatu na jamaa yake hana mpango nae na kashakimbia bongo hii. Yeye anasema hawezi kurudia makosa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Mkuu wa Wabeba na Wakimbiza Box, leo ningependa Uutaarifu umma wa wabeba Box sheria na procidure za kudili na mademu wa Kinugu,kwa upande wa wanaume wabeba box, na ma men wa kinugu kwa upande wa...
0 Reactions
159 Replies
10K Views
Habari ya weekend wakuu,natumai mu wazima. Ni matukio ya maisha yake ya mapenzi. Yanaenda namna hii. Tutahitaji mawazo yenu yenye hekima na busara ukishaisoma. Ni shosti tumeshibana sana,ana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
A man thinks he scores high wit a woman wen he does something very big 4 her, ...like buying her a new car or taking her on a vacation. he assumes he scores less when he does something small...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Hii tabia sijui itaachwa lini maana ni ukatili wa hali ya juu. Leo niko zangu ndani ya daladala mara akapanda mwanamke mwenye mtoto mdogo kwa sababu seat zilikuwa zimejaa akamwomba mwanamke...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Niliamini alinipenda kwa dhati, but siamini kile anachoniambia sasa, "TUACHANE" ndo kauli yake ya mwisho. Chanzo cha hili ni hv mara baada ya Misimu ya sikukuu kuingia aliniomba hela ya...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kuna utata umetokea baada ya jamaaa zangu Kupendana wakati wanajua ni ndugu ,utata umetokea wanapong'ang'ania kuoana eti undugu wao upo mbali yaani inawezekana MTOTO WAKO AOE MJUKUU WA MJOMBA...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
x gal friend wangu,anantext kila siku usiku,nimjibu nini?...anantel tu hello..Saa tano.
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Yani kinywaji chake ni waini ila ikimkolea ni balaa! Bora umkimbie! Mpaka namwogopa! Kama hajakunywa aaa! Hana hamu! Nifanyeje? Niokoeni jamani!
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Huyu rafiki yangu,alikua na mmanzi wake wa enzi hzo,wamefka chuo,ka kawaida ya wadada,akampga chni msela,wel msela kabembeleza wee,bt response ikawa zero as mmanzi alimchana live kwamba ana msela...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu, Hayawi hayawi yamekuwa, Ijumaa ndo imewadia, Na kwa kuwa wikiend hii imenikuta nikiwa huku ugenini, basi leo natarajia kuwemo ndani ya Hotel de Continental, Pale kwenye kanga moko...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani akina dada naombeni msaada wenu kwa yeyote ambaye atajitokeza au kijitolea ili kuupoza moyo wangu ulioumia baada ya kutendwa na mpenzi wangu ambaye nilimpenda. Kwa jinsi alivyonifanyia kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hii nikwa habari ya mechi ya chumbani. lazima tukubaliane kwamba tendo hili ndio muhimili muhimu wa ndoa, hivyo kwamba kama kuna mushkeli katika hilo basi hata mawasiliano ndani ya nyumba...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
HELLO! you may be amused by this. enjoy it. Men Are Impossible to Please If he calls you and your phone is off, he thinks you’re cheating…. then he sends a sms saying “don’t...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
msichana huyo awe na miaka kuamzia 16-20 contact 0712338291
0 Reactions
17 Replies
2K Views
natafuta girl (mchumba) wa kuchil nae awe na umri kuanzia miaka 18-20 :tongue:
0 Reactions
12 Replies
2K Views
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26,sikubahatika kuendelea na masomo niliishia kidato cha pili.nahitaji mume kwa sasa lakini kutokana na ufinyu wa elimu niliokuwa nao nimekuwa...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Mchumba wangu ni mtu wa dini sana pamoja na familia yake, tuna mpango wa kuoana mwaka huu ila sijui lini, nimemwambia anipe mimba hataki, sina raha kusema kweli hadi mwezi wa tatu ajanipa tareh ya...
10 Reactions
144 Replies
12K Views
Back
Top Bottom