Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,095
- 828,897
Tawasindikiza lol...!Na Mimi niko na rafiki yangu wote tuko single tunaweza kuja pamoja
Tawasindikiza lol...!Na Mimi niko na rafiki yangu wote tuko single tunaweza kuja pamoja
Hahaa karibu mkuu ila wasiliana kwanza na mdhamin wa trip km atakubali aiseeTawasindikiza lol...!
Loh afadhali at least hapa nimekubaliwa bila kubaguliwa nitam pm kiongozi tuone vile itakuwaHahaa karibu mkuu ila wasiliana kwanza na mdhamin wa trip km atakubali aisee
Poa Fanya hivyo itakua bomba mkuuLoh afadhali at least hapa nimekubaliwa bila kubaguliwa nitam pm kiongozi tuone vile itakuwa
Nimepata green light tutapeana ratibaPoa Fanya hivyo itakua bomba mkuu
i welcome you
Kwakweli mshana utakosa mengi..![]()
![]()
![]()
![]()
natamani kubadili ID nakosa mengi
Tate shebughe ikala mwe kitiii...tiolele wana wakishighisha maegha....!Ngoja na mimi niandae route ya kwenda kupanda milima ya usambara na haka ka-corolla kangu huenda na mimi mambo yakaenda vizuri.
Ukiondoa lile sherti letu kuu hapa ni la lazima huyo mdada atakaefuzu kwenye hiyo safari awe na uwezo wa kula ugali wa muhogo(bada) na mlenda (hombo) tutakapofika kwa wasambaa na akishindwa basi atajitegemea nauli wakati wa kurudi.
Tate shebughe ikala mwe kitiii...tiolele wana wakishighisha maegha....!
Am planning to have a self driving to Tanga via Bagamoyo, Saadan national park, Pangani final destination Tanga. It's a leisure trip , any single under23 girl please send me pm
Nimepata green light tutapeana ratiba
Poa Fanya hivyo itakua bomba mkuu