Hivi majuzi tu nilitoke kukutana na msichana mmoja ktk eneo langu la kazi, ktk kushare some ideas nikagundua huyu mdada alitokea kunipenda/kunitamani.
1day tukiwa duka la jirani na offiisini huyu...
Alikuwa na kazi yake nzuri.
Lakini nampenda sana kiasi kwamba nilikuwa namuonea huruma sasa nimemwachisha kazi ili asipate tabu.
Halafu kuna suala la wivu. Huko alikokuwa anafanyia kazi kuna...
..when i am asked "<EM>would</EM> you help me please?" it gives me an opportunity to help, <BR>and i am more than willing to support her, but when I hear "<EM>could</EM> you help me please?" I...
Tangu nimeanza mahusiano sijawahi kabisa kupenda ila nasikia watu wanalalamika kuhusiana na mpenzi wengine wanafikia hatua ya kujiua kwasaabu ya mapenzi. Huwa najiuliza nikipi hasa kinamfanya mutu...
Habari jf
.
CJUI KAMA ILISHATOLEWA AU LAAHA,BUT ELIMU HAINA MWISHO.
Napenda nizungumze na wale walio kwenye mahusiano,wapenzi.
Ni vyema Wapenzi mkawa mnazungumza kwa undani kabla mjafanya...
Vigezo vinavyo/vilivyotumiwa na wanawake kupata wanaume kuanzia miaka ya 1960: 1960s----kutafutiwa/kufosiwa na wazazi
1970s----tabia njema
1980s----family status
1990s----u-handsome na mwili...
Ni mara nyingi tumekuwa tukisikia kuwa "mwanamke akipenda huwa kapenda kweli". Je, wanaume tusubiri kupendwa ili tuepuke kuumia au tuendelee kupenda na tukubaliane na hali halisi iliyopo (maumivu)?
Naomba msaada..ni mume wangu nina miaka saba nae some how hajatulia lakini kwa kuwa me ni mwanamke mpambanaji maisha yaendelea kiubishi..yupo mkoani kikazi toka jana usiku saa tatu kazima simu...
Hivi juzi Nilikuwa napita mahali mara nikawaona wazee wawili wamesimama kimtindo kwenye kona ya nyumba (babu around 70s na bibi 60s) nikashikwa na udadisi nikabana karibu yao na kusikiliza...
Wana bodi! Ni hadithi ndefu sana, ila kwa ufupi wake ni kuwa mtumishi mwenzangu tunaefanya kazi ofisi moja na desk moja amemuweka kimada aliyekuwa mpenzi wangu kwa miaka 4 na...
Wanawake mimi nawaheshimu sana lakini katika mnanikasirisha sana. Wanaume wanaojihusisha na matendo ya kishoga mara nyingi marafiki zao ni wanawake hawa wanakao nao na hivyo kuwapelekea na wao...
Habari Zenu wana MMU!!nimeona leo nizame pande hizi kwanza tujuzane maujanja ya Mahusiano cunajua tena mapenzi yana kimbiza dunia...au sio?..sema ndiyo basiii....!hata kujibu shida kah!haya bwana...
jirani yangu ana tabia ngumu sana mie huwa nina tabia moja kwa vile ni mfanyakazi ninapokuwa siendi kazini sina muda wakwenda nyumba za watu ila kama msiba au ugonjwa nashiriki vizura maana mara...
Eti wana JF wenzangu nifanyeje mana kuna msichana mmoja nataka niwe nae bt ye anataka 2we friends nikimwambia siwezi kuwa friend na ww hataki kunielewa. Je nifanyeje jamani?
Habari member wa jf.natumai kwa uwezo wake mola tuwazima.nimejitokeza leo baada ya kupotea kwa muda mrefu sana kwa majukumu yaliyopo ktk dunia hii.......nina rafiki wa karibu ambae alizaa mtoto...
habari wanajf na hongereni kwa juhudi za kuelimishana,
kama miezi mitatu iliyopita nilikuta post huku jamaa moja akilalamika kuwa mpenzi wake ni wa baridi yaani wakianza ule mchezo hahisi joto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.