Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

How can you escape all curses of temptations? By following the rules below, they'll never send you in the wrong direction, I promise YOU. (you can add more and more) 1* It's not about just ME (or...
1 Reactions
1 Replies
906 Views
Hebrews 2:18 Most gracious Lord!I come to Your throne of Grace! Have mercy on me O Lord!As the Scripture says when You were sojourning on this earth You went through the path of temptations. Hence...
4 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Smiling Makes Us Attractive. 2. Smiling Changes Our Mood. 3. Smiling Is Contagious. 4. Smiling Relieves Stress... 5. Smiling Boosts Your Immune System. 6. Smiling Lowers Your Blood...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Wana wa familia ya JF mambo vipi?.Hii ni kwa jisia zote ME na KE. Mko chumbani usiku mmepumzika kila mmoja akiwa anamuahidi mwenzie ahadi tamu tamu juu ya kulitunza na kulienzi penzi lenu na...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
. Why You Should Never Be “Nice” To Women! by Ross Jeffries Many years ago, when I was first making my tv talk show rounds, someone asked me, “What do women want?” I said something that nearly...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo nimejikuta nashangaa nikaambiwa unashangaa nini? Men kujiweka soap, na kujipodoa usharobaro. Wanaketi mahoteli makubwa na kuvizia wanawake wawanunulie kinywaji! Ama kweli maisha...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
habarini wana jf,mwenzenu ninammisi sana mpenzi wangu kwasababu yuko mbali, naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa kukaa mbali na wapenzi wao hadi wakazoea nifanyaje,ili niweze kuzoea hii...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Hivi jamani mahusiano magumu sana, Wakati mwingine unaona umeula your the luckiest woman, Unaona kama dunia umeiweka mkononi, Wakati mwingine unajiona looser tu, kama huna thamani yoyote duniani...
6 Reactions
52 Replies
4K Views
Maswala ya wivu tuweke kando jamani. Swala ni hivi kwenye wallet ya mpenzi wako kuna condom tatu ambazo walipewa kazini kwenye zile training za kuhusu ukimwi,zimekaa muda kweli kila ukipiga chabo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Samehe mara saba sabini aijalishi mmetukana mmeishi miaka mingapi kwa style ya mgongo wa nne rekebisha sasa badilika sasa rudi kwenye mke wako wa ndoa..tunza familia yako ukuzaa mwenyewe jali...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Hello everyone! Ninatafuta a guy friend not a "boy friend" but a guy friend ambaye atakuwa rafiki wa karibu bila mapenzi or sex attachment.
2 Reactions
52 Replies
4K Views
Kwenye maisha kuna kupata na kukosa pale tunapotaka, tunapohitaji, au tunapoomba kitu. Muhimu ni kukubaliana na hali halisi. Linapokuja swala la mahusiano ni jambo la kawaida kijana/mwanaume...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Nawasalimu wadau wote wa MMU. Namuuguza mama yangu mzazi sasa yapata wiki ya pili baada ya kumfanyia vipimo vya xray pale Hindu mandal majibu yameonesha kwamba anasumbuliwa na tatizo la moyo kuwa...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Ukweli ni kwamba hata Polisi walipofika katika eneo la tukio waliamini kwamba yule mama alikuwa ameuawa na majambazi. Kwani wakati mauaji yale yanafanyika mume wa yule mama alikuwa baa ya jirani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zanguni najua wengi wanahaingaika na hii sekta labda tukumbushane ukweli ni muhimu kujua uzinzi ni ngumu sana kuushinda lazima ujue src ya uzinzi na uushinde ..uwezi kushinda uzinzi wakati...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za nyakati hizi wanajamvi! Nimeona niseme machache kwa wanaume wezangu. Pengine yalishasemwa, basi ni kukumbushana tuu! 1. Mpende Mkeo wakati wa ujauzito! Ulimpenda. Ukamwoa. Ukamwita...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Awe simple na mwenye sifa za kiasi - elimu kiasi, urefu kiasi, asiwe mweupe, mwenye kazi ni vizuri zaidi. Aliye serious ani PM
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani Habarini zenu wanajamiii mm ni mgeni hapa jamvini,mm ni kijana (mvulana) mwenye miaka 29 ninaelimu ya Chuo (Single Degree) na tayari nimeshaajiliwa nafanya kazi ila katika maisha yangu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wajameni. Nina dadangu kaolewa na wana watoto 2, mumewe yuko kamili tu, I mean viungo vyake havina tatizo. Shule kasoma, sio sana lakini kutokusoma sio sababu ya haya afanyayo. Kila siku...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Dears I hope wote mu wazima and had a nice weekend. Kidogo nimechanganyikiwa hapa na ninahitaji msaada wenu bandugu...... ... Currently ninasoma hiki kitabu "Men are from Space, Women Must be...
1 Reactions
132 Replies
8K Views
Back
Top Bottom