Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

nasisitiza wazazi tuongee na wenetu jaman tuache kukumbatia mila na desturi zinazotungamiza jana nipo kwenye dala dala natokea kimara kwenda kkoo watoto wa shule wamepanda wakaka seta ya nyuma...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Umeanza kuimiliki sio muda mrefu Speed yake usipime, ni mchakamchaka unaifurahia lakini unahisi hutakuwa na ubavu wa kuhimili kwa muda mrefu maana kilasiku ndio kwanza kama jana Hakuna cha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nina girlfriend 2,wote wananipenda nashindwa fanya maamuzi coz nikimwacha mmoja sitajisikia kama namtendea haki naye atanilaumu sana.kubwa zaidi nimegundua kuwa wanakaa karibu na watakuja...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
@arusha,baba mngoni ,mama mchagga. kagundua kuwa bf wake ni jambazi, baada ya kuiona bastola yake akamuuliza kwa upole bf akakubali ila akamuahidi anaitaji matukio matatu tu ila aachane na...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Habari zenu wapendwa,,kuna binti flan nampa jina la Jen,huyu jen na familia yao yote ni walokole,jen elimu yake ni ya form four na ana miaka 20 kwa sasa,wazazi wake ni wakulima tu na wana elimu ya...
3 Reactions
165 Replies
11K Views
Jamaa baada ya kupewa uroda mara moja tu na mdada, akajikata, no phone calls, no emails, nothing...! mdada alikauka nae kumpima kama atawasiliana lakini wapi. miezi miwili imekatika jamaa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habar za masiku wanajamvi la MMU. Me bado hali yangu ni tete na hiki kitambi. Leo nikiwa clinic nimepata kisa cha kusikitisha, kuna dada mjazito alikuwa analia. Katika maongezi akaniambia ana...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Nimeamini mwanamke c wa kumuamini na c wote ILA wengi wao cjui wana fikiria kitu gani,Mfano jana kuna demu ameletwa na rafiki yake ambaye ni shem wangu basi tukapiga story sana yule demu...
0 Reactions
86 Replies
10K Views
jamani kutokana na ushauri wenu wana jamvi na mimi nimeamua nimtafute mwenza hapa rafiki nilikosa maana kipengele cha kutongonoka kiliwashinda naona tu nitafute mwenza (A)sifa za nimtakae 1 awe...
3 Reactions
188 Replies
13K Views
Usiipe nafasi hofu Nyote mnapaswa kuwa na hisia zenye afya ili kujenga uhusiano wenye mafanikio. Kwa mfano, siyo dalili nzuri kama unakuwa kwenye uhusiano kwa sababu tu unahofu kuwa mpweke. Ni...
1 Reactions
10 Replies
16K Views
Awe anajua majukumu yake yote muhmu kwa mumewe,sio tuanze kufundishana tena.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama kuna wakati nimeomba ushauri nikiwa serious basi leo ni zaidi. Siku nyingi nimekuwa nikitafuta mwenza wa kuishi naye katika maisha lakini imekuwa ni kazi ngumu kutokana na sababu mbalimbali...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Hi natumai mu wazima!Hey plz woman don't get angry with me!Natumia mimi mwenyewe kama mfano;Nilizaliwa pamoja na ndugu zangu wawili hivyo tukawa wa3,wakati tukio linatokea mimi ndo nilikuwa mdogo...
13 Reactions
156 Replies
10K Views
Kuna hatua mbili kuu za marafiki kukumbia. Tena wanaokukimbia ni wale marafiki wa jirani ulio waona kama ndugu. Ukiwatangazia kuoa wanaonekana kwa nje kukuunga mkono, ukihitaji msaa wao...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
​ Siku zote mapenzi huyapa maisha thamani lakini wapo ambao hujikuta kwa namna moja ama nyingine wanatengana na wapenzi wao kwa sababu tu ya mihangaiko ya kila siku yakujitafutia ridhiki...
0 Reactions
12 Replies
17K Views
Unakuta watu wakati mko wapenzi,mnapeana maneno mataamu,cku mkibreak mnatukanana matusi ya nguon?hii nimeishuhudia jana corner flan hvi.
0 Reactions
1 Replies
953 Views
Ongezea misemo mengine inayohusiana na mapenzi........ usitembee peku peku unaweza ukachukua mbegu. utamu tunao tatizo utelezi tu. kicheche siku zote anajua kusearch kama google. Ukimpata wa...
1 Reactions
31 Replies
22K Views
Vigezo: 1. strictly chatting, we will never meet face to face 2. Christian, politician, computer geek, Man utd fan or IT Student /specialist itakua sifa ya ziada 3. Awe na age kati ya 19- 24...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wajameni ninahitaji mke mwenye sifa zifuatazo: Mwenye kujazia kwa chini ya kiuno mwenyekujua maana mume ninini mweupe wa tanga na zanzizabar watapewa first chance dini yyt ila...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom