Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nawatakia sikukuu njema mbarikiwe wote, msiumwe , msiwe na stress, muwe na moyo wa kusamehe, mpendwe na waume/boyfriend zenu,waume/boyfriend zenu wawasikilize, mfanikiwe katika kila jambo.kama...
21 Reactions
59 Replies
4K Views
The woman in your life may give you her heart, soul and, of course, her body, but still there's a part of her being that she'll never share with you... stuff that makes her a mystery . Yes, your...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Sisi ni ndugu. Tunakutanishwa na mtandao huu na kuwa familia moja japo wengi hatufahamiani. Hata hivyo,nimegundua namna ya kugundua umri wa mwanajumuia hii ya JF. Kwa namna gani unaweza kubaini...
6 Reactions
246 Replies
18K Views
....Baada ya mpenzi wako kutoka kwenda uwani,unafungua simu yake kama kumchunguza ktk (inbox) unakuta ujumbe huu... "...Honey am sorry,ukweli nilikosa jinsi ya kuwasiliana na wewe kwa kweli...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
mitandao hii inamengi sana jaman......kwanza;habar wanajf nilipata email ambayo sikumfaham mtu huyo..akirequest friendship...sikujibu sikuileile,ilipita kama wiki tatu nikaijibu.Yule mtu akaanza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kulikuwa na msichana kipofu aliyejichukia mwenyewe kwa ajili ya upofu.Alimchukia kila mtu isipokuwa boyfriend wake.Siku moja akamwambia boyfriend wake kama ningefanikiwa kuona dunia tu kwa macho...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Mchakato wa Kumtafuta JF Man of the Year 2011 umekamilika baada ya kupigwa kwa kura za maoni na baadaye kuwashindanisha walioteuliwa na Tume ya Uchaguzi JF. Tafadhali Rejea katika uzi ufuatao ili...
12 Reactions
230 Replies
13K Views
Hivi ukigundua kuwa jirani yako huwa anakupiga chabo kila siku wakati unaoga au umelala na mkeo/mumeo utafanya nini ili hali yeye mpiga chabo hajui kuwa umeshagundua hiyo tabia yake? Hebu toeni...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wana JF wenzangu, mwenzenu nina mchumba na ndie ninae tarajia kufunga nae ndoa, tunakutana muda tuutakao na kupeana mambo yote ya kimahaba na tunapendana sana. Tatizo langu ni kuwa NAPATA NDOTO ZA...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
WAPENZI WAKIWA KWENYE PIKIPIKI Msichana:mpenzi punguza mwendo hii ni hatari jamani. Mvulana:usijali mpenzi mi naona mwendo uko poa tu. Msichana:simamishaaaaaaa pikipikipi mpenzi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Source: Mwandishi Joseph Shaluwa, GP. Yes...sasa twende sawa katika mada yetu. Kama mtakumbuka vizuri wiki iliyopita, nilieleza kwa kirefu juu ya penzi lililojeruhiwa. Kwamba ni ile hali ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kuna kamsemo kuwa maisha huanza ukiwa na miaka 40. Je kuna ukweli kwenye kaulimbiu hii? Madai huwa kabla ya 40 bado ni limbukeni unarukia mambo kwa sababu hujakomaa na huna busara. lakini after...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
MKAZI wa Tungi Kigamboni, Dar es Salaam, Nicolaus Maganga(21) aliyevunjika mguu takribani miezi miwili iliyopita kutokana na ajali yapikipiki amefika katika ofisi za gazeti hili, jijini Dar es...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mchakato wa Kumtafuta Malkia Wa Jukwaa La MMU yaani "Queen Of MMU" for the Year 2011 umekamilika baada ya kupigwa kwa kura za maoni na baadaye kuwashindanisha walioteuliwa na Tume ya Uchaguzi JF...
4 Reactions
66 Replies
5K Views
Mimi ninampenz wangu ambaye tumeishi naye karibia miaka miwili kwa sasa,tunaishhi vizuri sana pia huwa mara nyingi tunafanya mapenzi vizuri na tunaridhishiana lakini siku hizi nahisi nina tatizo...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Jana wife alizua varangati kubwa saa 3 ucku, akidai anataka kwenda kwao eti nyumba inatisha. Nikampoza kidizaini, akapoa. Leo tena saa 1 ucku kazua tafrani nyengine. Alitaka Ice Cream...
0 Reactions
3 Replies
895 Views
......Kwa wale wakristo wanafahamu kuna andiko kwenye Biblia linasema adui yako ni yule wa nyumbani mwako..Nilikuwa sielewi vyema msingi wa hili andiko..Lakini siku za karibuni nimeona wasichana...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Je inafaa kumlinda mpenzi wako au tuseme mali yako?? Na kuna mipaka ya kufanya hivyo ?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Asanteni wanaJAMVI kwa ushauri wenu wa hapa na pale, hata kwenu ninyi mliokejeli asanteni kwa sababu mlichangamsha JAMVI. Leo hii nimeamua kubadili namba zangu za simu kumwepuka huyu "dada" ambaye...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Jaribu kupitia maeneo mbalimbali ya burudani na starehe za hapa na pale utagundua hawa jamaa hauwez kuwakuta huko..ni jambo lililo wazi kwamba hawa jamaa wana-run uchumi wa Tanzania kwenye nyanja...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom