Hivi utafanya nini hili likikutokea? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi utafanya nini hili likikutokea?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by WALIMWEUSI, Mar 9, 2012.

 1. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hivi ukigundua kuwa jirani yako huwa anakupiga chabo kila siku wakati unaoga au umelala na mkeo/mumeo utafanya nini ili hali yeye mpiga chabo hajui kuwa umeshagundua hiyo tabia yake?
  Hebu toeni comments zenu ili nipate cha kufanya.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nitachofanya siku nyingine nanuua maji ya betry(Sulphuric acid) au HCL(Hydrolic Acid) naiweka kwenye kikombe cha glass,najibanza naweka mito kwa chini halafu demu wangu akae juu,then namsikilizia dirishani akikasogeza uso namwagia acid mazima!!
   
 3. zimwimtu

  zimwimtu JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 1,887
  Likes Received: 609
  Trophy Points: 280
  kamueleze ukweli kuwa hufurahishwi na tabia yake hiyo, then mfanyie maombi kwani nadhani hajielewi!!!.
   
 4. v

  valid statement JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Unawasha taa ili ajifaidie kukuona kwa mwanga mzuri.
  Kwani ni dhambi kufanyiwa chabo?
   
 5. Gabmanu

  Gabmanu Senior Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ntacheka kwanza alfu muda mwingi ntautumia GYM kujifua cku nikilianzisha atafraiii.
   
 6. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Utakuwa umemsaidia zaidi, ili afaidi to the maximum.
  Maana labda ndiyo starehe yake na yeye!
   
 7. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kummwagia maji ya pilipili najitia ni bahati mbaya tu
   
 8. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  We unanaje, dhambi au sio dhambi!
   
 9. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kama ni mke alfu mie ni mme wa mtu , naongeza kasi ili naye atamani
   
 10. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Namwita namwambia anachofanya sio vizuri akiendelea nafanya kama King Kong hapo juu.
   
 11. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145

  Ni mtu mzima sana, yani huwa namwita BABA though sio babangu so kumwambia yataka moyo.
   
 12. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Acha kuogopa uoga,yaani we unaewashimu hata na wasiokueshimu..
   
 13. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,129
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Hujafafanua hizo chabo anazifanyia kupitia mianya ipi kwenye nyumba. Kama ni dirishani, hakikisha una mapazia.Je unamwona saa unakupiga chabo? Kama ni hivyo, ni rahisi. Kama jina lake ni kwa mfano; Baba Sudi, unapomwona saa anakupiga chabo, sema kwa sauti kubwa:Nani huyo hapo kama Baba Sudi? Unataka nini?
  Ataacha upuzi wake.
   
 14. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Na wewe si umpige chabo.
  MP.
   
 15. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Achana nae we jilie vyako taratiiiiiiiiiiiiib tena ongeza maujuzi

  akichoka ataacha
   
 16. Kipeperushi

  Kipeperushi Senior Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Angalia comedy ya Majuto, "MZEE WA CHABO", majibu yote yamo humo.
   
 17. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mhhh mitaa gani hiyo mnachunguliana, weka taa yenye mwanga mkali sana nje bila yeye kujua then mpange na mtu mwingine kuiwasha anapokuja dirishani abaki kasimama wima asijue pa kukimbilia
   
 18. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  i will teach him a lesson nnamtumbua na msongo machoni alah!
   
 19. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Nitahakikisha nafunika sehemu zote anazotumia kupigia chabo..
   
 20. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  kama ni baba mwenye nyumba je??
   
Loading...