Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

wajameni wajameni mbona jukwaa la utani silioni au ni kwa sisi tu tunaotumia vimobitel?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
"Hivi mwanaume kakataa mimba we umelea ya nini? Haki ya nani mi mwanaume hajaniachia mimba nikalea, labda aniachie mtoto hapo angalau!" Hayo ni maneno ya dada mmoja kwenda kwa mwingine ambae ni...
7 Reactions
68 Replies
9K Views
I saw this on Yahoo and i though it is worth sharing Top 5 things that drive men crazy By Laura Schaefer Men love women. They do...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa wenzetu wa Kenya ni kawaida kwa mwanamke kumshushia kipigo mwanaume tena cha haja kama hajaacha kodi ya meza lakini hali ni tofauti kwa TZ huku hata mwanamke awe baunsa vp lakini hawezi kato...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Nasikia wanaume wa pwani wengi wanapenda kuwafanyia kitu mbaya wake zao, wenyewe huita 'kuruka ukuta' na hii imekuwa ikigundulika hasa wake zao wanapokwenda hospitali kujifungua na kupata taabu...
0 Reactions
28 Replies
11K Views
Kama umesema ndio basi, jitahidi kunpm.Am very serious to that who will be serious.Just PM Me Muhimu:awe mkristo,mweusi na mwajibikaji.Elimu muhimu even up to diploma level just acceptd Karibu.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Akina mama.akina dada..nimewakumbuka kwa maneno yenu ya busara bac usiku mwema.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni msichana mwenye umr wa miaka 23 nimehtimu chuo mwaka huu,nimeona nheshma kwangu iwapo ntakua nimetulia ktk ndoa yangu kuliko kuhangaika na maisha yasasa..Nahtaj mwanaume muislam,mpenda...
2 Reactions
71 Replies
11K Views
Ngoja leo niyadadavue makosa yanayofanywa na wanawake wengi pale wanapoamua ni nani wa kuoana naye: 1. Kosa la kwanza, unaolewa na mtu ambaye unajua kabisa ni dhaifu na mkorofi, ukitarajia kwamba...
16 Reactions
75 Replies
6K Views
Jamani nimeona nishee nanyi mawasiliano yangu ya skype na rafiki yangu from Lusaka! Kifupi, mwanaume alimnyanyasa sana huyo dada hadi akaondoka na kupanga sehemu nyingine, sasa anafanya masters...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Unahisi mume ama mkeo mambo anayofanya ni sababu ya ukoo uliooa.... Je ukujua wakati unaoa yuko ukoo gani..embu tuanze kufanya mapping jamani tusianze kulalamikia hiz koo zetu..huwa napenda...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Asaalam aleykum wanajamv ....mimi na mke wangu 2napenda sana hii nikutokana na mfumo w maisha 2liopendekeza 2ishi.na 2meamua kuishi ktk mfumo huo kutokana na dunia y sasa iliyogubikwa na magonjwa...
0 Reactions
106 Replies
9K Views
Habari za pilika waungwana? Naombeni busara zenu wajameni! Mpenzi amenitia jeraha la moyo? Mi nilikuwa na demu, tulipendana sana na ukweli nilimuamini sana na nikawa namtimizia kila kilichokuwa...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Its this my machine operator, anaishi na mwanamke mitaa ya mabibo na wana motto mmoja. (hawajafunga ndoa) jamaa kajitahidi kapata kiwanja CHANIKA. Na kajenga kibanda chake sasa anataka kuhamia ili...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Friends i have found a great site for swahili.........place to chat,dating,,,etc first 100 people from now up to april 24 will get 2yrs Gold membership please hurry up to sign up...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Hi, natafuta rafiki wa kike menye sifa zifatazo.. 1.Awe ana kazi. 2.Umri kati ya 20 to 35 3.Mchapa kazi .................. .....................
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aaaaarrggrh!Nimekerwa sana alfajiri ya leo baada ya kumuona jamaa mmoja nikiwa nafanya mazoezi akikatoa kabinti kadogo sana kukasindikiza kwao,inaonekana alilala nako.Hivi wanaume sisi hivi...
12 Reactions
175 Replies
11K Views
but under only one condition she should not:cool2: be over 25 yrs old
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Live Court – judgment of Louise Woodward: The Closing Argument that convicted Louise Woodward Eye To Eye: Barry Scheck (CBS News) Ndio kwanza alikuwa amemaliza masomo yake ya...
11 Reactions
28 Replies
4K Views
Mimi Hassan Said nasikitika kuwa ule ujumbe nilioutoa tarehe 20 mwezi 3 mwaka 2012 kuhusiana na kutafuta mke kupitia jf , nasitisha rasmi zoezi hilo leo tarehe 30 mwezi 3 mwaka 2012 kutokana na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom