Is it real that life starts at 40? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is it real that life starts at 40?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, Mar 8, 2012.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,785
  Trophy Points: 280
  Kuna kamsemo kuwa maisha huanza ukiwa na miaka 40. Je kuna ukweli kwenye kaulimbiu hii? Madai huwa kabla ya 40 bado ni limbukeni unarukia mambo kwa sababu hujakomaa na huna busara. lakini after 40 unakuwa tayari umekwisha kupita kwenye tanuru la elimu dunia na maamuzi yako yanaongozwa na busara hukurupuki na hivyo shari mara nyingi kukupita kwa mbali.

  Je upo ukweli hapo?
   
 2. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Au tuseme Busara na hekima ndio hukuanza ktk umri huo, kwa nijuavo mimi maisha huanzia pale mtu anapozaliwa...
  Habari ya asubuh bwana Rutas...
   
 3. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Mi nafikiri uzee huanza ukiwa na 40 na siyo kuanza maisha. Ktk umri huu, mhusika huwa makini na mipango ya maisha yake ya baada ya kustaafu including sehemu ya kuishi na shughuli atakayo ifanya ktk kipindi chote kilichosalia cha uhai wake. Nahisi kwa majukumu na fikra hizi, humfanya mhusika huyo kuongozwa na busara kuhakikisha anajenga vzr maisha yake ya baadaye.
   
 4. edcv

  edcv Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nina baadhi ya sababu hapa za kupinga hio mada;
  1)Life is learning, falling down and getting up (Hii inaanza2 ukishazaliwa).
  2)Kuna watu above 40 lakini akili zao ndogo compared to Teenagers.
  3)Not all people mature at the same age(wengine huwahi na wengine huchelewa-binadamu hawako sawa)
  conclusion: I agree to disagree...
   
 5. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  I do belive kuwa hasa "akili" inaanza kuja at the age of 30,ila ukishafikisha 40 unakuwa ni mwenye uwezo mkubwa wa kuyatazama mambo kiuhalisia zaidi!Ukitaka kuyajua hayo watazame watu wenye umri huo unaowafahamu utaliona hili kwa upana wake!Ukifika umri huu halafu bado una yale mambo ya "fulish" age hautabadilika kamwe!Hata humu mada,michango pamoja na namna mada na michango hiyo inavyoandikwa utaweza kuujua umri wa mtu kirahisi sana.Hata yule anaejidai kujikopi bado anaangukia kwenye ujinga,ni ujinga kwa sababu huwezi kutaka uonekane kituko wakati wewe hulipendi jambo hilo,labda ingekua ni kazi,unalazimika uact tofauti ili uifanye kazi vyema!Au kwenye muvi sawa,hatutakushangaa!
   
 6. mkudeson

  mkudeson Senior Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ingekuwa ni mtihani marks ni 85% - A
   
 7. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  At fifteen my heart was set on learning;
  At thirty I stood firm;
  At forty I had no more doubts;
  At fifty I knew the mandate of heaven;
  At sixty my ear was obedient; at seventy I could follow my heart's desire without transgressing the norm
  - Confucius (
  Confucius - Wikiquote)
   
 8. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Are you in your forties?
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,785
  Trophy Points: 280
  Maisha bila busara nayo ni maisha lakini?
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,785
  Trophy Points: 280
  plus ten more.......
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,785
  Trophy Points: 280
  something for my mind to chew.........
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,785
  Trophy Points: 280
  zile 15% zilizobaki kazipotezea wapi?
   
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,785
  Trophy Points: 280
  Mmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhh sijui kama nimekuelewa.........
   
 14. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,785
  Trophy Points: 280
  tatizo ya hoja hii ni kulinganisha watu mbalimbali....................lakini kama utamchukulia mtu mmoja mmoja utaona ya kuwa kadri anavyokuwa busara na utashi unaongezeka kwa maana ya kujifunza mengi.............kwa hiyo ukimlinganisha na alivyokuwa mdogo na baada ya kukomaa na akili nayo hukomaa..........ukimlinganisha na wengineo suala la vipaji hujitokeza ambavyo tunatofautiana sana..........
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ni kweli kabisa, maisha yanaanza at 40.
   
 16. H

  Haika JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  'Life' hapa sio uhai, mi naifikiria kama ni freedom labda, confidence abt your life,
  at fourty and above you can feel free to be in your skin, you can stop wondering what your life will be like, you can stop fearing what ppl think abt you.
  You better start living your life as you please within your own beliefs and not pretending
   
 17. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,785
  Trophy Points: 280
  now at 50, I really feel things begun to fit in place at 40.........
   
 18. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,785
  Trophy Points: 280
  yeah, time to start living......................really living and enjoy every once of your Beloved breath................
   
 19. Makiria

  Makiria Member

  #19
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ts true life begin at 40...ukiona umefika miaka hiyo then hujielew where u can stand then u've to return back the ball to kipper...n try again kama utaweza...
   
 20. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  we ruta hebu tuachie chance kidogo mbona unajaa mwenyewe tu!:A S-frusty2:
   
Loading...