"...mke wa mtu aliyeniota LIVE.."

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Asanteni wanaJAMVI kwa ushauri wenu wa hapa na pale, hata kwenu ninyi mliokejeli asanteni kwa sababu mlichangamsha JAMVI. Leo hii nimeamua kubadili namba zangu za simu kumwepuka huyu "dada" ambaye ni mke wa mtu kwa vitimbi vyake vya sms hatarishi.
Jana jioni nilijikakamua nikamwandikia sms ya ku'apologize' then nikamwambia aachane na mambo ya ndoto kwani ndoto sio za ukweli..
Akanijibu kwa kirefu kabisa: "UTAKUA LINI MDOGO WANGU, UNAFIKIRI KUKUAMBIA NDOTO NI LAZIMA IWE NDOTO KWELI AU NI NJIA YA KUFIKISHA UJUMBE?.. NIMECHOKA KUVUMILIA NDIO MAANA NIKATUMIA TRICK HIYO, NAOMBA UFUNGUKE UNIELEWE PLIZ"..
Hapo ndipo nikajua ukubwa jalala!..
...
Nilimpigia na kumwambia LIVE mimi na yeye mazoea basi, nipo tayari kwa lolote! Sihitaji kampan inayohatarisha maisha yangu. Isitoshe fiancèe wangu anamfaham na wanaheshimiana.
...
Baada ya mazungumzo nilikata sim na kuiharibu ile sim card, nikachukua line nyingine na nimeshasajili.
...
Nawaza jinsi ya kumwambia my fiancèe coz nilivyomwambia nimebadili namba zangu za simu, amekuja juu ile mbaya.
...
Sitaki nimuumize mpenzi wangu na sitaki awe na hisia mbaya juu yangu.
...
WanaJAMVI kwa mara nyingine naomba msaada wenu wa mawazo na ushauri. MSINICHOKE.
...
Mchana mwema.
...
SI unit
 
Kwahiyo unahisi ushatatua tatizo? Kwamba kama amedhamiria hiyo namba yako mpya hataipata?
 
Ivi haya maisha yalivyo magumu,nyie mnapata wapi muda wa kukaa chini na kutunga hadithi kama hizi?
Vitoto vinakuja na hadithi za kutunga ovyo ovyo na mijamaa inapoteza muda kuchangia!!! am out on this one!
 
fanya hivi,banjuka nae mara moja then umuambie its over.acha kumtesa mwenzako bana.ukisha du nae mara moja roho yake itatulia.
 
Asanteni wanaJAMVI kwa ushauri wenu wa hapa na pale, hata kwenu ninyi mliokejeli asanteni kwa sababu mlichangamsha JAMVI. Leo hii nimeamua kubadili namba zangu za simu kumwepuka huyu "dada" ambaye ni mke wa mtu kwa vitimbi vyake vya sms hatarishi.
Jana jioni nilijikakamua nikamwandikia sms ya ku'apologize' then nikamwambia aachane na mambo ya ndoto kwani ndoto sio za ukweli..
Akanijibu kwa kirefu kabisa: "UTAKUA LINI MDOGO WANGU, UNAFIKIRI KUKUAMBIA NDOTO NI LAZIMA IWE NDOTO KWELI AU NI NJIA YA KUFIKISHA UJUMBE?.. NIMECHOKA KUVUMILIA NDIO MAANA NIKATUMIA TRICK HIYO, NAOMBA UFUNGUKE UNIELEWE PLIZ"..
Hapo ndipo nikajua ukubwa jalala!..
...
Nilimpigia na kumwambia LIVE mimi na yeye mazoea basi, nipo tayari kwa lolote! Sihitaji kampan inayohatarisha maisha yangu. Isitoshe fiancèe wangu anamfaham na wanaheshimiana.
...
Baada ya mazungumzo nilikata sim na kuiharibu ile sim card, nikachukua line nyingine na nimeshasajili.
...
Nawaza jinsi ya kumwambia my fiancèe coz nilivyomwambia nimebadili namba zangu za simu, amekuja juu ile mbaya.
...
Sitaki nimuumize mpenzi wangu na sitaki awe na hisia mbaya juu yangu.
...
WanaJAMVI kwa mara nyingine naomba msaada wenu wa mawazo na ushauri. MSINICHOKE.
...
Mchana mwema.
...
SI unit

Una miaka mingap?.Kubadali line si suluhu ya tatizo, akiipata utabadili tena?
 
kwa nini umeshindwa kujiamini kwa kile ulichoamua ??? je akifahamu hiyo namba utabadilisha tena??? sidhani kama kulikuwa na sababu ya wewe kubadilisha namba bali kuwa na msimamo na kusimamia kile ulichoamua
 
Unatumia nguvu kubwa mno.... Sasa ndio nimeelewa kua you are in Love with her na washindwa mtoa akilini na somehow wamlaumu yeye kwa kukuweka hali hio.... Pole saana SI. Mapenzi hayana ADABU....

Unapotosha ukweli AD
 
Thanx for your advice
 
Unatumia nguvu kubwa mno.... Sasa ndio nimeelewa kua you are in Love with her na washindwa mtoa akilini na somehow wamlaumu yeye kwa kukuweka hali hio.... Pole saana SI. Mapenzi hayana ADABU....
Yaani yuko kwenye mateso kama yangu. Navyokupendaga wewe shemeji yangu we acha tu. Ila line ya simu sikubadilishii :lol:
 
kubadili namba is an awkward solution. mwambie kwa dhati kabisa, kwamba 'SITAKI'
 
Unatumia nguvu kubwa mno.... Sasa ndio nimeelewa kua you are in Love with her na washindwa mtoa akilini na somehow wamlaumu yeye kwa kukuweka hali hio.... Pole saana SI. Mapenzi hayana ADABU....

Umemaliza... Ngoja nikasaidie kwenye thread nyingine...
 
Yaani yuko kwenye mateso kama yangu. Navyokupendaga wewe shemeji yangu we acha tu. Ila line ya simu sikubadilishii :lol:

nyie WOY na MOY mnafanya nini?si mmeambiwa muwe na nidhamu la sivyo mtanyang'anywa taji?haya nendeni chumbani (pm) mkaendelee na mambo yenu!
 
Ivi haya maisha yalivyo magumu,nyie mnapata wapi muda wa kukaa chini na kutunga hadithi kama hizi?

mkuu,nashauri mtu akiona post ni ya kutunga apotezee tu!watu hapa wapo wa rika tofauti wana uzoefu tofauti wa maisha na uwezo tofauti wa kujieleza!yawezekana mtu akaleta stori ya ukweli lakini uwezo wake duni kujieleza ukadhani anadanganya na akaja mkongwe na uongo wake akaupamba vema ukaona kweli!tuvumiliane tu tutafika!
 
SI,kama uko committed kwelikweli kwa mchumba wako endelea na msimamo wako!ingawaje inapaswa ujifunze gentle ways ya kudili na ushawishi huo!if u become a real gentleman wanawake wanakuelewa kwa urahisi sana na mwisho hujijengea heshima ambayo hukuondolea ushawishi toka kwao
 
Back
Top Bottom