Nisaidieni wana JFwenzangu, ni tatizo hili

Mchomamoto

Senior Member
Aug 19, 2011
169
36
Wana JF wenzangu, mwenzenu nina mchumba na ndie ninae tarajia kufunga nae ndoa, tunakutana muda tuutakao na kupeana mambo yote ya kimahaba na tunapendana sana. Tatizo langu ni kuwa NAPATA NDOTO ZA USIKU KUWA NAFANYA MAPENZI na hufikia kupiga bao nikiwa ndotoni yaani hasa nisipokuwa nae,na sio kwamba nakuwa na mawazo sana juu yake hapana maana hata wakati mwingine nachoka na shughuli zangu za kutwa lakini inatokea napiga bao. Naomba mnisaidie je ni tatizo la kiafya au ni nn hasa tatizo?
 
ukiona hivyo ujue umeshiba, ukilala na njaa hutaona hiyo kitu.
 
So dream boy, why did you wake up? Why do you think dream translator read this contributions?Tell you what go back to bed and finish your dream then we might have a complete picture of your self.
 
Mhh,sheikh yahaya kafa mapema, lakini all in all nadhani unampenda sana na huwa unapenda jinsi anavyokupa game kiasi mpata unaota na kufanikiwa kujimalizia mwenyewe
 
Thanks Kabakabana yawezekana lakini daaah inanipa taabu sana nishauri nifanye nn?
 
Wana JF wenzangu, mwenzenu nina mchumba na ndie ninae tarajia kufunga nae ndoa, tunakutana muda tuutakao na kupeana mambo yote ya kimahaba na tunapendana sana. Tatizo langu ni kuwa NAPATA NDOTO ZA USIKU KUWA NAFANYA MAPENZI na hufikia kupiga bao nikiwa ndotoni yaani hasa nisipokuwa nae,na sio kwamba nakuwa na mawazo sana juu yake hapana maana hata wakati mwingine nachoka na shughuli zangu za kutwa lakini inatokea napiga bao. Naomba mnisaidie je ni tatizo la kiafya au ni nn hasa tatizo?

hicho kichupa kinajaa fasta...
jitahidi kukamua fresh...na inaonekana asilimia kubwa ya maisha yako ni huyo msichana na kutinduana...tan taraaa!
 
kama wanatinduana fresh na mwenzie hatakiwi kuota...

Thanks BAGAH nadhani umetambua tatizo, tunatinduana vya kutosha tu wala hakuna shida ya kukosa penzi muda wowote ule lakini tatizo hilo linanipata mara nyingi na sio kweli kuwa nawaza sana,lakini nawashukuru sana wana JF kwa kuonyesha kujali member nathamini wote wanaochangia na kupokea ushauri wao!!
 
Unaota unafanya mapenzi na nani? Inawezekana una jini mahaba kama unaamini katika maombi ni vizuri utafute wachungaji/waombaji wakuombee. Ikiendelea hivyo hata ndoa yako haitakuwa na amani.
 
Thanks BAGAH nadhani umetambua tatizo, tunatinduana vya kutosha tu wala hakuna shida ya kukosa penzi muda wowote ule lakini tatizo hilo linanipata mara nyingi na sio kweli kuwa nawaza sana,lakini nawashukuru sana wana JF kwa kuonyesha kujali member nathamini wote wanaochangia na kupokea ushauri wao!!

...karibu tena!
GURU wa majambo wapo njiani utapata hitimisho...usibanduke!
 
Nenda kwenye maombi. Inawezekana hilo ni jini mahaba linakujia kwakutumia sura ya mpenzio. Hiyo inaweza kuja kuwa shida mtakapoishi wote kwani unaweza kujikuta ukipenda mapenzi ya ndotoni zaidi kuliko ya live. By the way uzinzi ni dhambi.

Wana JF wenzangu, mwenzenu nina mchumba na ndie ninae tarajia kufunga nae ndoa, tunakutana muda tuutakao na kupeana mambo yote ya kimahaba na tunapendana sana. Tatizo langu ni kuwa NAPATA NDOTO ZA USIKU KUWA NAFANYA MAPENZI na hufikia kupiga bao nikiwa ndotoni yaani hasa nisipokuwa nae,na sio kwamba nakuwa na mawazo sana juu yake hapana maana hata wakati mwingine nachoka na shughuli zangu za kutwa lakini inatokea napiga bao. Naomba mnisaidie je ni tatizo la kiafya au ni nn hasa tatizo?
 
pole sana!!!!!ila usikate tamaa kwa tatizo lako hilo sio kubwa sana katika maisha,ila unatakiwa uchunguze kuwa tatizo hilo lilianza zamani au ni juzi juzi..
 
Rafiki una jini mahaba,karibu church kwa ajili ya prayer uondokane na hizo ndoto.
 
Back
Top Bottom