Hii ndo dunia ya maharamia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndo dunia ya maharamia

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Vaislay, Mar 9, 2012.

 1. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  mitandao hii inamengi sana jaman......kwanza;habar wanajf

  nilipata email ambayo sikumfaham mtu huyo..akirequest friendship...sikujibu sikuileile,ilipita kama wiki tatu nikaijibu.Yule mtu akaanza kwa kujitambulisha yeye ni nani,yuko wap,anafanya kazi hedikota za redcross marekani,akataka pia kujua m nafanya nini,nilipojibu nikakwepa lile swal na chochote kinachonihisu nikimvutuia muda wa kumsoma vizuri.siku kama tatu zikapita,akanipa taarifa kwamba anahitaj picha yangu,huku yeye katuma yake,nikamchunia nikawa namjibu stor za kusogeza muda....siku hiyo akaniambia,umekuwa so kind kwangu naomba nikurushie dili la kaz,akidai redcross ya marekan inahitaji watu wa kwenda kufanya kazi HAITI,cz haiti ipo ktk matengenezo/kujengwa upya baada ya tetemeko.akanitumia web ya usa redkrosi na hiyo program.mi nikaichek nikaona ni kweli kbs ipo.akanambia niwasiliane na mtu akanipa adress ya yule mtu akidai yupo kwenye channel km HR.kwel,nikakontakti nae...yule Hr akanirushia kwa mtu mwingine akidai ndo muhusika na Africa....yule mtu akaanza kunipa details kwamba,wanahitajika watu 8-10,then visa,accomodation kwa jil ya trainning wanahusika nayo wao kimalipo,ndege na pochopocho nyingine ila sie tunahitajika kutoa sh152 za kwa jl ya pasport za hait.

  kwa kuwa kizuri kula na mwenzio kuna ambao niliwashirikisha Mchezo ulianza hapo sasa.......form ya kwanza ikatumwa,ile form ndo ilinishtua ipo kiholela zaid kwa mtu wa kawaida ambae hana utaalam na document tena hasa za international hawez jua.ile form nikajaza mimi km mimi nikatuma.tukatumiana viform ikafika hatua nikaanza kudaiwa hela ileee coz nilimwambia tupo 8 akataka 1.2 na zaid million.baada ya kuona kudaiwa kunazid ikabidi niamke na kuanza kuifatilia hiyo,nikapga simu ubaloz wa marekan wakanambia hawana taarifa ya hiyo kitu,kufuatilia adress walizonipa zikawa tofaut kbs na usa redcross hedikota.....ikabidi nimwonyeshe mimi ni mtanzania tena wa uswahilin....akipiga kuulizia hela namwambia mbona nimetuma,na mimi ikabidi niwe namkazania anipe vipaspot kwakuwa nishatoa hela......UNAJUA NINI KILITOKEA.....aliejidai HR akanambia tumefunga file lenu tunawachukua wa sudan coz nyie wasumbufu mnajifanya mnajua sana mashirika ya watu....nikiendelea kuda nikashangaa ma email yananiletea report tu FAILURE.

  NACHOTAKA KUWAAMBIA NI KWAMBA,NAJUA TUMECHOKA NA MAISHA YETU MAGUMU YA TANZANIA LAKIN UKIPATA HABARI KM HIZI FATILIA USIKURUPUKE KUONA UNAENDA KUKWEA PIPA TANZANIA UNAIACHA HURUD TENA,UTAULA MKENGE.....mana ktk wale niliowashirikisha kuna wengine hawanielew had leo wanaona km nimewachinjia baharin akat ni mm mwnyw niliwashirikisha.........kueni makini na mitandao kwa wale wenzangu na mimi tusiofaham.
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  aibuuuuu
  sasa kweli mtu from nowhere akupe tender ya joob kweli
   
 3. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Kaaazi kweli kweli.
  MP.
   
 4. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mie wamenisumbua sana hao jamaa mwakajana na juzi bt wakinambia swala lakutuma hela tu huwa wananikosa hapo tu... Pole mkuu hawakukutapeli kweli? Hebu kuwa muwazi
   
 5. Wonder Woman

  Wonder Woman Senior Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii imefanana sana na zile story zinazotoka NIGERIA...
   
 6. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Exactly...
   
 7. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  sijatapeliwa aisee
   
 8. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  hii yangu, mdai hela alikuwa senegal
   
 9. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Hizi habari kwa mtu yeyote aliye kwenye mtandao kwa muda wa kutosha ni za kawaida sana...Halafu wala huitaji wiki tatu kujua kuwa ni utapeli sana sana ukipata email mbili tatu unajua.
   
 10. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Hili ni somo zuri sana kwa watanzania! Pole kwa yaliyokupata. Ufahamu wako wa utapeli wa kimataifa ulikusaidia sana.
   
Loading...