Women: You cant live WITH them, You cant Live WITHOUT them.

silent lion

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
1,161
1,535
Jana wife alizua varangati kubwa saa 3 ucku, akidai anataka kwenda kwao eti nyumba inatisha. Nikampoza kidizaini, akapoa.

Leo tena saa 1 ucku kazua tafrani nyengine. Alitaka Ice Cream nkamwambia niko tired. Ikawa balaa . Akadai tena ooh nyumba inatisha naogopa. Ikabidi twende kwetu na nikamnunulia Ice cream. Kapoa kama siye.

Jamani wanaume kazi tunayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom