Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Tafiti mbalimbali zinaonyesha kwamba busu ni kitu muhimu sana katika kukuza UPENDO. Imefahamika kwamba kumbusu mwenza wako wakati wa kutoka nyumbani, kuteremka garini na wakati wa kurudi nyumbani...
3 Reactions
64 Replies
5K Views
Hahahahaha Nilikua na wakumbusha tu kwa sababu watu wengi sana hasa vijana wa sasa wamesahau kuhusiana ba hilo swala! Jihazarini!
9 Reactions
54 Replies
5K Views
nahitaji msichana ambaye tutakuwa tuki share ideas and also become good friends my e-mail puravidaseranos@gmail.com
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hi JF members,.. Nahitaji msaada wenu....hv karibuni nimetoa bikra yangu ingawa cna uhakika if kweli imetoka kwani nilickia ikitoka damu hutoka pia bt mimi cjaona damu..mnavyoona bikra imetoka au...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni matumaini yangu marafiki mtakuwa mko poa na mnaendelea na majukumu ya kazi za kila siku. Kama kawaida kupitia safu hii tunapata kujifunza yahusuyo mapenzi.Ninapoandika makala haya, najaribu...
1 Reactions
14 Replies
8K Views
...nimezaa na wewe sikatai. ....cjafika kwenu sikatai. ...sijatoa mahari siikataaiikabsaaa. Lakini kumbuka kwamba tulivyo dondoka ktk penzî.... Wote tulikua vipofu...kwa nini leo uhatarishe...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za jumanne ya leo wana JF? Nadhani imekaa vyema kabisa.mimi leo ningependawasilisha ishu moja nimepewa na rafiki yangu mmoja wa kike. naomba nieleweke kuwa hatuna uhusiano wa aina yoyote...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Yamenikuta! Naambiwa fimbo yangu iko mbali nikubali yaishe! Matatizo ya maisha yametufanya mimi na mke wangu tukubali ushauri wa rafiki yangu wa kumruhusu mke wangu akatafute kibaruwa umangani...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
.....................
0 Reactions
15 Replies
4K Views
habari wanajf, nina rafiki ambaye tunachukuliana kama ndugu,ila undugu unaharibika sehemu moja tu,na jamaa/boyfriends wake.Nimekuwa nikisumbuliwa na kila jamaa anaekuwa nae,na mara jamaa akianza...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu, nadhani tuwe na uzi utakaotusaidia materials kuhusu mapenzi, mahusiano and related matters! Knowledge is power. 1. Love to dare. Hiki ni kitabu cha kikristo kinachoonesha how married...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Tulikuwa tumetoka outing kwa ajili ya kupata winywaji na kubadilishana uzoefu, na katika mazungmzo yetu tulifikia mahali tukajikuta tukizungumzia masuala ya familia na hapo ndipo aliponijulisha...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Nita list ambazo ni zangu.. Na ww weka zako 1-Freedom 2-Losing in love 3-Fear of being controlled 4-Responsibility - the biggest scare
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa wahusika wote, nataka na ninapenda mashuga mamy,yaani I don't feel to be with Girls coz ni Wazinguaji sana,halafu waongo katika Mapenzi na wezi wa mifukoni. Hivyo Sasa,nikiwa serious kama...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
niliachana na mchumba wangu miezi 3 iliyopita baada ya kumfumania akiwa na kishanshuda po mwingine. niliumia sana ukizingatia alikua keshantolea mahari na tulikua kwenye process za kufunga ndoa...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Wadau ninashukuru kwa michango yenu yote.....,kila aliyechangia nimemuelewa, Pili nasikitika sana sikuwa hewani kwa muda kutokana na masuala ya kikazi hivyo sijaweza kuwajibu kwa wakati...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
enyi wanaume wenye nyumba ndogo,nawashauri kuwa,mnapoamua kuzaa na hao nyumba ndogo zenu,jitahidini kwenda kupima DNA baada ya mtoto kuzaliwa la sivyo mnatunza watoto wa wenzenu! kama hamjui hizo...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama uchovu na ukosefu wa usingizi ndivyo vinavyowafanya wanawake ambao wamejifungua karibuni kutoshiriki kwenye tendo, hapa kuna sababu nyingine ambayo pengine ni muhimu zaidi. Ni ipi hiyo...
9 Reactions
27 Replies
3K Views
nahitaji msichana ambaye tutakuwa tuki share ideas and also become good friends my e-mail puravidaseranos@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Huyu m2 ni vip or ndo utoto unamsumbua ni demu wangu but sijawahi mshika hata mkono nikitaka kumkiss ananiambia hadi amalize form six daa au ni PCB inamchanganya embu naombeni msaada kuhusu uyu mtu!
0 Reactions
85 Replies
7K Views
Back
Top Bottom