Je Kulindana inafaa ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Kulindana inafaa ?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mwiba, Mar 8, 2012.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Je inafaa kumlinda mpenzi wako au tuseme mali yako?? Na kuna mipaka ya kufanya hivyo ?
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kumlinda kivipi, ukiwa unamaanisha kumfuata kila anapoenda hiyo ni karaha inakuwa kama hakuna kuaminiana, lakini kama kumlinda as providing protection as needed sioni tatizo
   
 3. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Namaanisha hako kapengee cha mwanzo ,kuna ile nyimbo ukimlinda usimlinde...! Na inakuwaje karaha ? Yaani uwachiwe tu uwanja wako ,inawezakana wivu kuwa moja ya aina ya lindo ?
   
 4. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Yeah kama kweli unampenda utamlinda
   
 5. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Je unaweza kutoa ufafanuzi wa aina ya lindo utakalo mlinda ???
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Muulize JK kama inafaa kuwalinda Nkya na Mponda na ukaua maelfu ya wananchi!
   
Loading...