Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,425
- 725
Sisi ni ndugu. Tunakutanishwa na mtandao huu na kuwa familia moja japo wengi hatufahamiani. Hata hivyo,nimegundua namna ya kugundua umri wa mwanajumuia hii ya JF.
Kwa namna gani unaweza kubaini umri kwa mfano: Lizzy, Marytina, Katavi, kwa kutaja machache? Njia ni hii: Uandishi na utumiaji wa lugha mfano: bac ma d 2ko pamoko sna!. Huyu anaweza kuwa kati ya 18-25. Japo wapo wenye umri mkubwa zaidi ya hapo wanaweza kuandika hivyo kwa kuambukizwa na wale wenye umri huo kwa kuwasiliana nao mara kwa mara.
Uanzishaji mada: Zipo mada nyingine zinambainisha moja kwa moja mwandishi. Mfano-Kwanini wazee wenyevitambi, upara, mvi wanajirusha pub zenye vijana...? Itakuwa ngumu mwandishi huyu kuwa zaidi ya miaka 40. Atakuwa kati ya 20-30.
Avatar nayo ina matter sana kuugundua umri! (hapa naomba nicheke!)
Mifano ipo mingi. Ila nimetaja michache. Karibu kama unanyongeza au mchango wowote. I stand to be corrected though!