Watanzania hatuitaji wenye akili nyingi kutukwamua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania hatuitaji wenye akili nyingi kutukwamua

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Yasser5, Mar 20, 2012.

 1. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Natafakari sana najiuliza watanzani tumelithishwa woga hata katika haki zetu za msingi tumebaki kuwa mabubu na wanyonge tnao lilia ndani kila mmoja ukimtizama ni kama anasubiri mwenzake a aanze naye afuatie maisha yamekuwa ghari watanznia kimya mafisadi wametukombaaa weeee watanznia holaaaa masikini kimya gizani kimya nani wa kuliokoa taifa hili jamani kondoo wake dhaifu na wamekondeana hivi
   
 2. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hii sio sehemu yake.Your thread is good though
   
Loading...