Bora ningemmega ona sasa!!

BRO LEE

JF-Expert Member
Dec 25, 2011
826
600
Nilimfahamu toka akiwa kidato cha II tukawa tunaongea anapokuwa likizo na nikawa namhimiza kusoma kwa bidii , binti huyo anamwonekano nilihisi hawezi kumaliza FIV kwa kuwa lazima wakware wengi walikuwa wanamtokea.

Alimaliza Fiv 2010, tulipokutana baasa ya kumaliza tuliongea sana kuhusiana na matokeo akaniambia hayakuwa mazuri na wazazi wake walikuwa wanamtafutia chuo, nilimwuliza kuhusu kurudia mtihani akaniambia hayupo tayari.

Mara nyingine tulipoonana nilmwulizia mipango ya chuo akaniaambia ameshapata chuo na atasomea cheti cha uhasibu, alinikuwa anahitaji nimfuatilie maswala fulani ofisini hivyo tulipeana namba za simu.

Tulianza kuwasiliana kwa simu yy akiwa kinara wa mawasiliano na mizinga ya vocha km kawa, kwa kumchukulia km mdogo wangu sikuona hiyana kumsaidia vi-muda vya maongezi. Mawasilano yakazidi, sauti ya kuremba, maswali ya kizushi mara uko wapi,uko na nani nk, zikaanza meesji za mahaba na simu za usiku wakati huo kashaanza chuo. Alikuwa ananihimiza kila wakati niende kumtembelea mara kanimiss nk.

Nilianza kuhisi mambo siyo, mm nina kanuni sitaki kabisa mazoea na teenager hivyo nikachukua hatua, niliamua kuaongea naye kwa kirefu na kwa kumtega sana ili kujua mawazo yake, ndipo nilipojua tayari ameshanipa nafasi ya upangaji ktk mtima wake ni mm tu ku log in.

Niliongea naye kwa upendo na kumwelimisha kwamba tunaweza kuwa marafiki lakini si uhusiano mwingine binti alifahamu wazi kwamba nina mke !, nikamwomba pia apunguze mawasiano,kweli alipunguza mawasiliano, tukawa tunawasilana kawaida na ile sauti ya kuremba haikuwepo tena. Niliamua kumtembelea tukapata lunch na nikampa vijipesa kidogo.

Mara ya mwisho kuwasilana naye aliniambia amemaliza masomo na alikuwa anafanya tempo mahali fulani, ilikuwa miezi minne iliyopita.

Mkasa,Jumamosi 17/3/12 nikiwa ndani ya benki moja nilimwona na yy akiwa humo c nikaenda kumsalimu tena kwa kumgusa nimemwaga tabasamu, ALINICHUNIA KAMA HANIJUI!!! hebu fikiri kulikuwa na watu wengi tu, nikapotezea na kwenda meza nyingine. Nilihisi vijasho kwapani vikishuka japo kuna ac.

Hivi jamani kama ningemmega haya yote yangetokea c angekuwa na ka-sense of respect hata km ningemmega nikala kona!.
 
Ulifanya vyema
Kama una mke heshimu ndoa yako
Hiyo ni mapenzi ya teenager ambayo sana sana alikuwa anakupenda na anajua angekupata msaada kwake usingepungua
Bora umefanya hivyo kulinda ndoa yako na kulinda heshima yako
Swala la yeey kukuchukia sidhani kwa kuwa hujafanya alichokuwa anataka ila ni kwamba kuna msaada anaukosa kwa kuwa anajua hawezi kuupata
Sana sana hapo alitaka akuchune na aendelee kukuchuna haswa kama ungekuwa umeingia kwenye himaya yake
 
Mpotezee wala asikusumbue kichwa maana hana maana kwako endelea kutunza familia yako
 
Hakuna tatizo hapo sana sana kakupunguzia matatizo, alafu wahenga walisema "tenda wema uende zako". Kaka naomba uendelee kuheshimu mahamuzi yako na nyumba yako kwa ujumla.
 
Achana naye huyo hana sera, hiyo ni chuki ya kupigwa teke. Umefanya vizuri, angekuwa na akili agekuheshimu kuna wengi wakisaidia mtu mpaka wapewe zawadi ya ngono kwanza.
 
Asikushughulishe huyo pasua kichwa aende mbele na watoto wenzio kwanza mziki wako hauwezi...LOL mkeo peke yake ndio mchezaji...
 
Sasa ndg yangu wewe na familia yako, unaanzisha mawasiliano na katoto ka shule mpaka kufikia kupigia simu usiku, mawasiliano ya nini hayo? Kama kweli ulikuwa una nia ya kumsaidia nafikiria umemsaidia imetosha na yeye karidhika na msaada wako na ndiyo maana haoni sababu ya yeye kuendelea kukushadadia wakati tayari ulimueleza kuwa una familia.

Achana na hako katoto, kaa na familia yako uitinze na kuihudumia badala ya kupoteza pesa kwa mtu ambaye huna faida naye.
 
kwenye kupenda smtym kuna hamu na kwasababu ya: (vibomu): ila kwa huyo teenager wako inaonekana alikuwa na hamu ila hawezi kuacha kwasababu ya: (vibomu) kwakuwa vinaenda pamoja. sasa uamuzi uliofanya ni mzuri tena grade B' kabisa ila ungemtekelezea hamu yake, pia ingekuwa na faida nzuri tu ingawaje pangekuwa na kasoro mbili tatu.. ila asingekuchunia hapo Benki kwakuwa amekuona mwanaume Suruali kumbe ni mtu wa Mungu..
 
Alichokifanya ni Kibaya sana tena Sana embu nipe Namba yake ya Simu niongee nae nimlekebishe.
 
Nilimfahamu toka akiwa kidato cha II tukawa tunaongea anapokuwa likizo na nikawa namhimiza kusoma kwa bidii , binti huyo anamwonekano nilihisi hawezi kumaliza FIV kwa kuwa lazima wakware wengi walikuwa wanamtokea.

Alimaliza Fiv 2010, tulipokutana baasa ya kumaliza tuliongea sana kuhusiana na matokeo akaniambia hayakuwa mazuri na wazazi wake walikuwa wanamtafutia chuo, nilimwuliza kuhusu kurudia mtihani akaniambia hayupo tayari.

Mara nyingine tulipoonana nilmwulizia mipango ya chuo akaniaambia ameshapata chuo na atasomea cheti cha uhasibu, alinikuwa anahitaji nimfuatilie maswala fulani ofisini hivyo tulipeana namba za simu.

Tulianza kuwasiliana kwa simu yy akiwa kinara wa mawasiliano na mizinga ya vocha km kawa, kwa kumchukulia km mdogo wangu sikuona hiyana kumsaidia vi-muda vya maongezi. Mawasilano yakazidi, sauti ya kuremba, maswali ya kizushi mara uko wapi,uko na nani nk, zikaanza meesji za mahaba na simu za usiku wakati huo kashaanza chuo. Alikuwa ananihimiza kila wakati niende kumtembelea mara kanimiss nk.

Nilianza kuhisi mambo siyo, mm nina kanuni sitaki kabisa mazoea na teenager hivyo nikachukua hatua, niliamua kuaongea naye kwa kirefu na kwa kumtega sana ili kujua mawazo yake, ndipo nilipojua tayari ameshanipa nafasi ya upangaji ktk mtima wake ni mm tu ku log in.

Niliongea naye kwa upendo na kumwelimisha kwamba tunaweza kuwa marafiki lakini si uhusiano mwingine binti alifahamu wazi kwamba nina mke !, nikamwomba pia apunguze mawasiano,kweli alipunguza mawasiliano, tukawa tunawasilana kawaida na ile sauti ya kuremba haikuwepo tena. Niliamua kumtembelea tukapata lunch na nikampa vijipesa kidogo.

Mara ya mwisho kuwasilana naye aliniambia amemaliza masomo na alikuwa anafanya tempo mahali fulani, ilikuwa miezi minne iliyopita.

Mkasa,Jumamosi 17/3/12 nikiwa ndani ya benki moja nilimwona na yy akiwa humo c nikaenda kumsalimu tena kwa kumgusa nimemwaga tabasamu, ALINICHUNIA KAMA HANIJUI!!! hebu fikiri kulikuwa na watu wengi tu, nikapotezea na kwenda meza nyingine. Nilihisi vijasho kwapani vikishuka japo kuna ac.

Hivi jamani kama ningemmega haya yote yangetokea c angekuwa na ka-sense of respect hata km ningemmega nikala kona!.

Nini cha kujilaumu hapo! Alikutega nawe utaruka mtego sasa ana haja gani nawe? Mimi naona ni bora ujipongeze badala ya kujilaumu!
 
mkuu umesoma seminary nn?teenager unamwachia hujui kubadilisha mboga nn?watamu hao balaa!eti unamsaidia kwani yy yatima
 
Ulikosea tokea mwanzo kuwa na rafiki wa kike ambaye Mkeo hamjui, na akakuchuna kidogo kidogo kwa kumtumia vocha wakati si ajabu hata mkeo akikuomba vocha unakuwa mkali. Ila nakupa hongera kwa kutokufanya mapenzi naye, inaonyesha kwa kiasi gani una uaminifu kwa mkeo. Nakushauri uachane nae kabisa huyo, hata namba yake uifute kabisa asije akakuvunjia ndoa yako kwa kukuzushia yakuzusha.
 
Back
Top Bottom