Ukikubali kuolewa na Mchaga, kubali kufata mila | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukikubali kuolewa na Mchaga, kubali kufata mila

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by rosemarie, Mar 19, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,743
  Likes Received: 832
  Trophy Points: 280
  Jumamosi tulikuwa kwenye harusi ya ndugu yetu hapa Machame,ndugu yangu anaoa mwanamke kutoka DAR YAANI MZARAMO,mila zetu ni kwamba baba mzazi wa bwana harusi anachukua ""upata lwa wari"" maarufu kama mbege na kuria kidogo halafu kumkabidhi mtoto wake bwana harusi, na yeye ana riya kidogo na kumkabidgi baba yake, halafu tena baba ana riya kidogo tena na kumkabidhi bibi harusi ili ariye kidogo.

  Lakini tunashangaa eti bibi harusi alitaka kukataa kuria ile mbege, kwa taarifa tu ni kwamba kile kitendo ni cha kimila na kinafanyika vile mbele za watu ili kuonyesha upendo katika familiya na umoja, sasa huyu dada yetu alikuwa hajui hayo??

  Kama umekubali kuolewa na mchaga ujue hiyo ndiyo mila yetu, sisi hatuna mambo ya ngona na kanga moja kama huko kwenu, ukimpenda mchaga kubali yote.
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,018
  Likes Received: 3,612
  Trophy Points: 280
  Sio lazima, kila mmoja abaki na mila zake. Acha udiktaita wa kichaga
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,994
  Likes Received: 5,159
  Trophy Points: 280
  hakuna njia nyingine ya kuonesha upendo? maana uwepo tu wa baba mkwe hapo harusini ni upendo tosha, au mpaka mnyweshane vya kunyweshana?
   
 4. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  nasikia kuna ile mume/mtoto akisafiri baba anakaimu nafasi ya mwanae. bado ipo?
   
 5. T

  Thadeus JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 24, 2007
  Messages: 265
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Wewe hii umeiskia wapi?
   
 6. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,684
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  ukipenda boga penda na ua lake,
   
 7. S

  SWEET GIRL JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  hawana lolote watu wa hili kabila, matapeli wakubwa
   
 8. C programming

  C programming JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,439
  Likes Received: 1,329
  Trophy Points: 280
  hili kabila,.....................................
   
 9. S

  Stany JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Maswala ya mila mara nying yanakuwa respected na watu kutoka machame asili yaani kata za machame kask,kusn,uswaa,nronga uraa na maeneo mengine yaliyo kwene huu ukanda.lakini maeneo mengine kama kata za masama,lemira,boma etc haya mambo hayapo kabisa.
   
 10. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,454
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Vipi mke atabaki machame au atarudi naye mjini?
   
 11. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,751
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  jadili hoja kwa hoja
   
 12. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,751
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  jadili hoja kwa hoja
   
 13. roby2006

  roby2006 JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 399
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Bila shaka wewe ni shemeji yangu ulipigwa kibuti haiwezekani utokwe povu namna hii
   
 14. roby2006

  roby2006 JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 399
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Sasa hapo sijui itakuwaje kuriya mbege kidogo tu kakataa mbolea atazoa kweli huyo si atakuambia hawezi kushika mavi mkiambiwa msioe vyasaka hamsikii
   
 15. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,817
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  bibi kama umekosana na mtu wako usijumuishe watu wote wa kabila hili
   
 16. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Kama kuna kabila lenye mila za hovyo dhidi ya wanawake Tanzania hii ni la wachagga. Wazee wa kichagga wanakula binti zao. Wazee wa kichagga wanakula hata wake za watoto zao. Aibu eti wanajifanya ndiyo ukisasa
   
 17. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Usasa huo umeusikia wapi kama si kudanganyana kwenye vijiwe vya "tangawiziii..."?

  Fanya uchunguzi kabla ya kuandika kitu.. Kwanza lazima uandike kwa kila ukionacho?
   
 18. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Mkuu huwa inafanyika hivyo kwa ajili ya mambo ya biashara, katika hali ya kawaida huwa hawafanyi kabisa!
   
 19. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Kuriya ndo nini hebu weka sawa mleta mada maana hiyo maneno sijawahi kuisikia kule R***o si unajua lugha yenu ilivyotofauti kulingana na mahali!
   
 20. m

  mdawi Member

  #20
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Weeee ishia hapo hapo kabila ni letu na mila ni yetu haujaombwa kuchangia
   
Loading...